Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Nimeshangaa sana !Mbona wamempa mechi nyingi hivyo,si walitimue tu?
Tano kuanzia Leo au toka ligi ianze?kama toka ligi ianze ni kama kapewa mechi mbili 2 tu yaani hizo zitakazokuja baada ya kipigo cha cityTaarifa kutoka bodi ya Wakurugenzi ya Arsenal inasema kwamba Kocha mbovu wa timu hiyo Arteta amepewa mechi 5 tu za kuthibitisha ubora wake kabla hajatupiwa mfuko wake wa Rambo.
Hii maana yake mwisho wake ni october 2021 , ambapo Antonio Conte anatajwa kuchukua nafasi yake
Daily Telegraph.
Me Arsenal nataka TUPIGWE ZOTE huyo mtoto aondoke wanatuletea utoto mtu katoka kuwa kocha msaidizi, tunampa timu kizembe tu halafu wanatuletea usenge na si Arteta tu hata KREONKE nae msenge tu anatuletea ubahili wa kipuuzi hela ya kumsajili mchezaji mmoja wa man city ndo anatoa ya usajili wa Msimu mzima makalio yake.Taarifa kutoka bodi ya Wakurugenzi ya Arsenal inasema kwamba Kocha mbovu wa timu hiyo Arteta amepewa mechi 5 tu za kuthibitisha ubora wake kabla hajatupiwa mfuko wake wa Rambo.
Hii maana yake mwisho wake ni october 2021 , ambapo Antonio Conte anatajwa kuchukua nafasi yake
Daily Telegraph.
Kwa hizi mechi mbili timu imeonyesha dhahiri kuwa benchi la ufundi halina jipyaNimeshangaa sana !
Mzee OLE naye hana lolote atimuliwe tu!Huu ni msimu wa Man United...
Management ya arsenal Ni ya kipumbavu tangu awamu ya wengerArsenal hawana hela ya kumlipa Conte jamaa ni expensive sana wataleta cheap labour nyingine tu jamii ya Arteta
hakana kitu hako ka kocha.Watoe hela walete watu sio wanamtwisha mzigo mzito tu.
Arsenal hali aliyonayo sijui atashinda mechi gani.
Zimebaki 4 tu.Kumekucha
Mpaka Bentford?Kwani ameanza vibaya au ameanza na waliomzidi uwezo kwa kila kitu? Pengine atapoteza mechi 7 tu msimu huu