Mikel Arteta apewa mechi 5 tu kabla hajatimuliwa

Mikel Arteta apewa mechi 5 tu kabla hajatimuliwa

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Arteta afukuzwe ili?

Huyu yupo 20+ yrs
 
Me Arsenal nataka TUPIGWE ZOTE huyo mtoto aondoke wanatuletea utoto mtu katoka kuwa kocha msaidizi, tunampa timu kizembe tu halafu wanatuletea usenge na si Arteta tu hata KREONKE nae msenge tu anatuletea ubahili wa kipuuzi hela ya kumsajili mchezaji mmoja wa man city ndo anatoa ya usajili wa Msimu mzima makalio yake.
Aisee binadamu buan
 
toeni pesa msajili acheni kukuza vijana acheni ubahili hata akipewa clop team ama gadiola itamshinda
 
Taarifa kutoka bodi ya Wakurugenzi ya Arsenal inasema kwamba Kocha mbovu wa timu hiyo Arteta amepewa mechi 5 tu za kuthibitisha ubora wake kabla hajatupiwa mfuko wake wa Rambo.

Hii maana yake mwisho wake ni october 2021 , ambapo Antonio Conte anatajwa kuchukua nafasi yake

Daily Telegraph.

Afukuzwe ili iweje??

Saivi timu imekuwa tishio pale EPL.

Chelsea nakuja kuwapiga hapo hapo Darajan .
 
Back
Top Bottom