Mikel Arteta apewa mechi 5 tu kabla hajatimuliwa

Duh! wewe unaonekanwa ni mshabiki wa Arsenal na hayo ndio matatizo yenu, nimapana sana kwa kweli
Sijawahi kushabikia hiyo timu , isipokuwa nasikitikia nguvu ambazo Wenger alipoteza kuiweka timu hii juu
 
Sina Imani na wawekezaji wa hii timu yangu ya Arsenal

Matajiri ya mafuta Uarabuni Wameonesha nia ya kuinunua hii timu ambao ni kaka zake na mwekezaji wa PSG

Daniel Ek bilionea wa kampuni ya sportify hadi kesho ana nia ya kununua timu hii ya Arsenal

Kroenke family waache ubinafsi na mafanikio yao binafsi na kuisahau hii timu na kama wanaona wanashindwa basi wakubali moja ya bids ambazo zimewekwa na moja ya hao matajiri walionesha nia
 
Tano kuanzia Leo au toka ligi ianze?kama toka ligi ianze ni kama kapewa mechi mbili 2 tu yaani hizo zitakazokuja baada ya kipigo cha city
Mechi tano baada ya vipigo. Wangempaje mechi tano kabla ya ligi kuanza, kwani alikuwa amepata matokeo gani mabaya ndiyo wampe tano.
 

We jamaa unechagua fungu baya sana huku utopolo kule arse8 huu mwaka ukiisha salama kachinje beberu
 

Hata Dangote aliwahi kuonyesha nia ya kuimiliki Arsenal wamiliki wakazingua.
 
5 nyingi tukipigwa zote utakuwa ungese, ubora gani alionao mpaka ajaribiwe tena?
 
Mkuu, Arteta tumpe mechi ngapi?

Kwa sasa acha aendelee kuzifunga hizi timu ndogo.

Mwakani tunawageukia wakubwa wenzetu na kuchukua ubingwa..hahahaha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…