Huyo jamaa Ni muongo, Arsenal haikuwahi kukaa kufikiria kumfukuza ArtetaMechi tano baada ya vipigo. Wangempaje mechi tano kabla ya ligi kuanza, kwani alikuwa amepata matokeo gani mabaya ndiyo wampe tano.
Unapiga bomu mochwari unajisifu umeua !Naona jamaa amethibitisha baada ya hizo mechi.
Unapiga bomu mochwari unajisifu umeua !
Alipewa wakati ule , na alipewa na viongozi wake , siyo mimi .Vipi mleta mada, hilo wazo bado lipo??? Hii ni 2023 mwishoni…!! [emoji2][emoji2][emoji2]
Hakuwahi kupewa mechi 5 Wala ngapi ili afukuzwe ,uongo wakoAlipewa wakati ule , na alipewa na viongozi wake , siyo mimi .
Aisee binadamu buanMe Arsenal nataka TUPIGWE ZOTE huyo mtoto aondoke wanatuletea utoto mtu katoka kuwa kocha msaidizi, tunampa timu kizembe tu halafu wanatuletea usenge na si Arteta tu hata KREONKE nae msenge tu anatuletea ubahili wa kipuuzi hela ya kumsajili mchezaji mmoja wa man city ndo anatoa ya usajili wa Msimu mzima makalio yake.
AiseeArsenal hawana hela ya kumlipa Conte jamaa ni expensive sana wataleta cheap labour nyingine tu jamii ya Arteta
Mzee vipi nawasalim kwa jina la artetaManagement ya arsenal Ni ya kipumbavu tangu awamu ya wenger
Huu uzi bado upo🤣🤣Nimeshangaa sana !
toeni pesa msajili acheni kukuza vijana acheni ubahili hata akipewa clop team ama gadiola itamshindaMe Arsenal nataka TUPIGWE ZOTE huyo mtoto aondoke wanatuletea utoto mtu katoka kuwa kocha msaidizi, tunampa timu kizembe tu halafu wanatuletea usenge na si Arteta tu hata KREONKE nae msenge tu anatuletea ubahili wa kipuuzi hela ya kumsajili mchezaji mmoja wa man city ndo anatoa ya usajili wa Msimu mzima makalio yake.
We uwe unaleta tu habari za Mbowe na lema,haya mengine achaAlipewa wakati ule , na alipewa na viongozi wake , siyo mimi .
Taarifa kutoka bodi ya Wakurugenzi ya Arsenal inasema kwamba Kocha mbovu wa timu hiyo Arteta amepewa mechi 5 tu za kuthibitisha ubora wake kabla hajatupiwa mfuko wake wa Rambo.
Hii maana yake mwisho wake ni october 2021 , ambapo Antonio Conte anatajwa kuchukua nafasi yake
Daily Telegraph.
Mkuu,Alipewa wakati ule , na alipewa na viongozi wake , siyo mimi .
Waliompa mechi 5 si mimi .Mkuu,
Wewe habari za Mbowe, Mnyika, Lema na Lissu zinakutosha, huku unapuyanga tu.