Mikoa 10 ya Tanzania ambayo Wakazi wake wana Maendeleo na Kipato kikubwa

Mbona huisemi dodoma yako
Mmepigwa na kitu kizito😁😁
 
Manyara ni mkoa wa wachapakazi
 
Huelewi unachoongea Wala mantiki ya hoja.

Hoja iliyopo hapo ni Per Capita Income ya Kila mkoa.

Chukua hiyo figure ya Dar zidisha na Watu waliopo ndio utapata kinachoongelewa.

Mwisho uwe unajielimisha kwanza kabla ya kukanusha.
Una mhimiza ajielimishe wakati wewe mwenyewe unahitaji hiyo elimu, pengine zaidi yake?
Huna uelewa wowote wa takwimu, mbali ya kujiweka mbele tu kuwa mjuaji.
Kwa mfano: kwa nini unataka "achukue hiyo 'figure ya Dar es Salaam, azidishe na watu waliopo ndio apate kinachoongelewa".
Kinacho ongelewa kwenye hizo takwimu ni nini?
 
Wewe nae ni mbumbumbu mmja tuu.

Nimekwambia hivyo Ili kumsaidia na kumrajisishia Kwa sababu haelewi kitu kama wewe.

Mwisho Mimi najua
 

Unajua hizi takwimu zina shida kubwa.
Mfano mbaazi inayolimwa huko Babati au Arusha ikiuzwa nje ya nchi kupitia bandari ya Dar hesabu za TRA zitasoma mapato ni Dar.
 
Na bado hukuelewa nilicho nuia kukufundisha hapo; lakini bado unaleta ubishi! Takwimu huna uelewa nazo, inaonyesha wazi unavyo babaisha hapa.
Wapi nimebabaisha? Na Kwa nini wewe kama una uelewa nazo usiandike huo uelewa wako tuone?
 
Unajua hizi takwimu zina shida kubwa.
Mfano mbaazi inayolimwa huko Babati au Arusha ikiuzwa nje ya nchi kupitia bandari ya Dar hesabu za TRA zitasoma mapato ni Dar.
Mapato ya exports ndio yatasoma Dar ila mnunuzi anakuwa ameshakulipa chako wewe mkulima.

Ni kama vile Nchi ambazo Hazina Bandari zinafanya ,utasema Mapato ya exports yawe ya kwao?

Kwa hiyo takwimu ziko sawa.
 
Unajua hizi takwimu zina shida kubwa.
Mfano mbaazi inayolimwa huko Babati au Arusha ikiuzwa nje ya nchi kupitia bandari ya Dar hesabu za TRA zitasoma mapato ni Dar.
Sasa hli jukwaa lingekuwa na uzito linalo ustahili; hao watu wa Takwimu wenyewe wange jitokeza na kueleza hili; kwa sababu hii ni taarifa muhimu sana siyo hapa tu, bali nchi nzima.

Sijui kama wahusika (wasimamizi wa jukwaa hili), wanao uwezo wa kuwakaribisha watu toka huko kunakopikwa tarakimu hizi ili waweze kulifafanua hili.

Haya mambo ya takwimu na maendeleo ya mtu mmoja mmoja kwa kweli huwa yana mkanganyiko mkubwa na mambo mengi ndani yake ambayo huwa wakati mwingine hayapewi uzito stahiki katika kuangalia hali ya maendeleo ya wananchi katika eneo fulani.
 
Mimi nimeshauza Kunde,Choroko & Dengu nje ya nchi, si mkaazi wa Dar lakini taratibu zote za mauzo (agent & kodi) zilifanyika Dar.

Bomba la mafuta ya Uganda litakapokamilika uenda Mkoa wa Tanga ukashika nafasi ya pili kwa mapato.Takwimu hazitaangalia bomba linakopita au lilopoanzia.
 
Minada yote Kwa Sasa Iko online,the moment unapeleka Dar inkauwa mkulima kapata cheke na WA huko ni muendelezo wa value chain Kila mtu ashinde mechi zake Sasa hapo shida Iko wapi?

Rwanda ikizalisha bidhaa si inaleta ports za Tzn ,Je unataka exports value ziende Rwanda na sio Tzn? Ndio mfano wa unachosema so hakuna excuses.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…