ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 66,537
- 75,687
Kwa Mujibu wa Uchambuzi kutoka Takwimu za Pato la Kila Mtu Kwa Kila mkoa Kwa bei za mwaka 2023,Mkoa wa Kagera na Dodoma imetajwa kama Mikoa maskini zaidi Tanzania ikishika namba 2 na namba 5 mtawalia.
Uchambuzi wa Takwimu zilizotolewa na NBS kwenye Chapisho lao la Tanzania in Figures 2023 unabainisha wastani wa kipato Cha Mtanzania Kwa mwaka (Per Capita Income) kuwa ni Shilingi Milioni 3.055.
Hata hivyo Kuna Mikoa ipatayo 15 ambayo Ina wastani wa kipato Cha mtu wa Chini kuliko Wastani wa Nchi wa Shilingi Milioni 3.
Wastani wa kipato Cha mtu inapatikana Kwa kuchukua Jumla ya Pato la Mkoa gawanya na idadi ya watu kwenye Mkoa husika. Kiufupi inakuwa ,
Regional Per Capita Income=Regional GDP/Population
Pamoja na kwamba Mikoa ipo 15 ila Mikoa 10 ndio Ina Hali mbaya zaidi ya kipato Kwa Watu wake na ndio nitaiweka kwenye orodha.
Mikoa hiyo nayoitambua kama Yenye watu Maskini Zaidi Tanzania kulingana na kipato ni ifuatayo; Figures are in Millions Tanzania Shillings)
1.Simiyu =1.54
2.Kagera =1.58
3.Singida =1.64
4.Pwani =1.81
5.Dodoma =1.89
6.Tabora =1.95
7.Kigoma =2.0
8.Katavi =2.1
9.Songwe =2.4
10.Rukwa =2.5
My Take
Mchawi ni idadi kubwa ya kuzaliana vs uwezo wa uzalishaji.
View: https://www.instagram.com/p/DHI7fgJoeJt/?igsh=dmVkMTFyN3V4aHJy
Pia soma Ni aibu kwa Dodoma na Kagera kuwa kwenye list ya mikoa 10 maskini zaidi Tanzania
Soma zaidi hapa Mikoa 10 ya Tanzania Ambayo Wakazi Wake Wana Maendeleo na Kipato Kikubwa.
Angalizo
•Takwimu hizi sio rasmi Bali ni abstract tuu ya kutoa taswira ya Jumla ila sio Uchambuzi wa kina.
•Takwimu rasmi za marejeo ni zile zitakazotolewa na Mamlaka husika kama NBS,BoT,ESRF,FinScope nk.