Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa hiyo unasema hiyo ndio Mikoa ya mabumunda wengi ama? 😂😂Umasikini siyo tatizo wala adui wa Tanzania, Tanzania adui yetu ni mmoja tu, ujinga.
😂😂😂Nilijua nimepiga kwenye mshono huna logic ukibanwa. Narudia tena tuletee source ya huo utajiri kwa kila mkoa tuone impact yake kwa wananchi. Sometimes utumie akili sio unakimbilia kupost ili uonekane na ww ni active member📌📌📌🔨 😁😁🤪🤪 Pole vumilia hivyo
Kwa hyo unataka professor awe anagawa pesa kwa kila mtu mkoani kwake si ndioHuu mkoa wa Kagera si inasemekana una wasomi wengi sana tena maprofesa?
Namna gani tena pale Ishomile wapo top 3 ya mikoa masikini zaidi Tz
sasa mbona jibu lipo wazi wasomi wa kagera si wapo dar😂Huu mkoa wa Kagera si inasemekana una wasomi wengi sana tena maprofesa?
Namna gani tena pale Ishomile wapo top 3 ya mikoa masikini zaidi Tz
Wamekimbia Umaskini kwao Kagera Sasa sijui wanategemea nani awaondolee ufukara wao huko 😂😂sasa mbona jibu lipo wazi wasomi wa kagera si wapo dar😂
Mjomba FujoWamekimbia Umaskini kwao Kagera Sasa sijui wanategemea nani awaondolee ufukara wao huko 😂😂
Unahangaika na Kagera, unatapatapa na huna fact. Narudia njoo na source za huo utajiri wa Mikoa ili tujadili vinginevyo huna jipya na umekurupukaWamekimbia Umaskini kwao Kagera Sasa sijui wanategemea nani awaondolee ufukara wao huko 😂😂
Ujuaji Na ubinafsi upo hivi, nakupa scenario iliyonitokea Mimi mwenyewe ....kuna jamaa yangu ni muhaya nilimnunulia freezer , nilimpa ushauri nikamuambia atafute vijana wawili Mimi nitawalipia kodi ya chumba ili wqpate sehemu ya kujihifadhi Na lengo ilikuwa wamsaidie kwenye biashara ya kutembeza ice cream ,....cha ajabu ni kuwa aligoma kabisa Na akakomaa kuwa hiyo biashara Atlanta Fanya mwenyewe, yaani atengeneze mwenyewe Na auze mwenyewe😀😀 yaani hapa kilichokuwa kinamsumbua ni ubinafsi Na ujuaji....ni mwaka mmoja umepita sijaona chochote alichokifanyaUna matatizo ya akili wewe sio bure maana huna kipya kwenye jf zaidi ya kulinganisha mikoa kiufupi umefirisika kiakili au una stress. Kwa hiyo unataka kusema madini kwenye mikoa ya Shinyanga, geita na mara ndo utajiri wa wananchi?? Umezunguka kwenye hiyo mikoa kuona wanavyochangia maji ya kunywa na ng'ombe, mbuzi na punda?? Uko nyuma ya keyboard unaandika uharo tupu. Kabla ya kubwabwaja huu upuuzi wako ungetaja na source ya huo utajiri kwa kila mkoa tuone kama una impact kwa majority ya watu wa eneo husika.
Kashai, hamugembe, rwamishenye, buyekera, Na katotorwansi huko pote kuna vijana wasomi wengi tu lakini cha ajabu wakipata michongo ya ajira daressalam Na Dodoma hawataki kabisa kurudi kuwekeza sehemu hizo
WavivuKwa Mujibu wa Uchambuzi kutoka Takwimu za Pato la Kila Mtu Kwa Kila mkoa Kwa bei za mwaka 2023,Mkoa wa Kagera na Dodoma imetajwa kama Mikoa maskini zaidi Tanzania ikishika namba 2 na namba 5 mtawalia.
Uchambuzi wa Takwimu zilizotolewa na NBS kwenye Chapisho lao la Tanzania in Figures 2023 unabainisha wastani wa kipato Cha Mtanzania Kwa mwaka (Per Capita Income) kuwa ni Shilingi Milioni 3.055.
Hata hivyo Kuna Mikoa ipatayo 15 ambayo Ina wastani wa kipato Cha mtu wa Chini kuliko Wastani wa Nchi wa Shilingi Milioni 3.
Wastani wa kipato Cha mtu inapatikana Kwa kuchukua Jumla ya Pato la Mkoa gawanya na idadi ya watu kwenye Mkoa husika. Kiufupi inakuwa ,
Regional Per Capita Income=Regional GDP/Population
Pamoja na kwamba Mikoa ipo 15 ila Mikoa 10 ndio Ina Hali mbaya zaidi ya kipato Kwa Watu wake na ndio nitaiweka kwenye orodha.
Mikoa hiyo nayoitambua kama Yenye watu Maskini Zaidi Tanzania kulingana na kipato ni ifuatayo; Figures are in Millions Tanzania Shillings)
1.Simiyu =1.54
2.Kagera =1.58
3.Singida =1.64
4.Pwani =1.81
5.Dodoma =1.89
6.Tabora =1.95
7.Kigoma =2.0
8.Katavi =2.1
9.Songwe =2.4
10.Rukwa =2.5
My Take
Mchawi ni idadi kubwa ya kuzaliana vs uwezo wa uzalishaji.
Pia soma Ni aibu kwa Dodoma na Kagera kuwa kwenye list ya mikoa 10 maskini zaidi Tanzania
View attachment 3060995
Soma zaidi hapa Mikoa 10 ya Tanzania Ambayo Wakazi Wake Wana Maendeleo na Kipato Kikubwa.
Angalizo
•Takwimu hizi sio rasmi Bali ni abstract tuu ya kutoa taswira ya Jumla ila sio Uchambuzi wa kina.
•Takwimu rasmi za marejeo ni zile zitakazotolewa na Mamlaka husika kama NBS,BoT,ESRF,FinScope nk.
Hapo ndipo wanafeli akina MutaKashai, hamugembe, rwamishenye, buyekera, Na katotorwansi huko pote kuna vijana wasomi wengi tu lakini cha ajabu wakipata michongo ya ajira daressalam Na Dodoma hawataki kabisa kurudi kuwekeza sehemu hizo
English gani hii mkuu?Its like putting lipstick on a pig....
The phrase to put "lipstick on a pig" means making superficial or cosmetic changes to a product in a futile effort to disguise its fundamental failings. There are many phrases using pigs, monkeys, or swine, dating back to biblical times. This phrase seems to have been coined in the 20th century but did not become a common phrase until the 21st century and is often used in politics.English gani hii mkuu?