Mikoa 10 Yenye Watu Maskini Zaidi Tanzania: Kagera namba 2, Dodoma namba 5. Nini Kinaiponza Mikoa Hii Maarufu?

Kwa Mujibu wa Uchambuzi kutoka Takwimu za Pato la Kila Mtu Kwa Kila mkoa Kwa bei za mwaka 2023,Mkoa wa Kagera na Dodoma imetajwa kama Mikoa maskini zaidi Tanzania ikishika namba 2 na namba 5 mtawalia.
Unaongelea umasikini kwa ku base kwenye pato la kila mtu bila kuangalia gharama za maisha na matumizi husika ya sehemu husika ?!!!

Hivi hata tunajua maana ya umasikini ? Unaongelea mtu wa Kagera halipi kodi ya nyumba, chakula anatoa shambani na hata elfu kumi ya kunywa konyagi hamalizi starehe yake kwenda kwenye ngoma ni bure....

Alafu homeless yupo Dar hajui hata kama atapata milo mitatu anajiona ni tajiri kwa kutokana na kwamba mkoa huo una viwanda au wazalishaji ingawa pesa hiyo haimsaidii huyu jamaa zaidi ya polution na kuchafuliwa hewa...

Nauliza tena hivi tunajua hata maana ya umasikini au ndio yale sababu kuna namba E nyingi mtaani tunaona tumeendelea kama jamii ?
 
Dodoma kwa sehemu kubwa hata kufika hapo waishukuru Serikali. Dodoma haina viwanda kwa sehemu kubwa inategemea Bunge na vyuo na uwepo wa Serikali
Hawana chanzo kikuu cha uchumi wao wamebakiza kuuza Dompo tu, na kujisifu kwenye utengenezaji wa wine, bila kujua wanatakiwa kuweka nguvu kwenye kilimo, madini, na uzalishaji mwingine pia fursa za kibiashara zinatakiwa kuongezeka waongeze pia viwanda na watu wao waongeze kuchapa kazi... Wagogo ni wavivu na maskini by nature.
 
Kagera imejaa umaskini na per Capita income ndio indicator kuu, mengine unajifariji tuu 😁😁
 
Kagera imejaa umaskini na per Capita income ndio indicator kuu, mengine unajifariji tuu 😁😁
Unaongelea income bila kuangalia expenditures ? In short you are missing the whole picture...

Tanzania imejaa masikini watu hawana ujira and they can not afford their basic needs (chakula, malazi na mavazi) na kwa taarifa yako angalau hio mikoa uliyosema watu wengi sio homeless tofauti na huko pengine ambapo wanasiasa wanacook data kwamba wapo vizuri kumbe ni mafukara tu ambao ambao wanaishi kwenye slums na kuvuta polluted air...

Its like putting lipstick on a pig....
 

Una matatizo ya akili wewe sio bure maana huna kipya kwenye jf zaidi ya kulinganisha mikoa kiufupi umefirisika kiakili au una stress. Kwa hiyo unataka kusema madini kwenye mikoa ya Shinyanga, geita na mara ndo utajiri wa wananchi?? Umezunguka kwenye hiyo mikoa kuona wanavyochangia maji ya kunywa na ng'ombe, mbuzi na punda?? Uko nyuma ya keyboard unaandika uharo tupu. Kabla ya kubwabwaja huu upuuzi wako ungetaja na source ya huo utajiri kwa kila mkoa tuone kama una impact kwa majority ya watu wa eneo husika.
 
📌📌📌🔨 😁😁🤪🤪 Pole vumilia hivyo
 
Pole sana Kwa Kagera kuwa maskini,acheni mental slavery ya vyeti anzeni kufanya kazi kama wenzenu.
 
Pole sana Kwa Kagera kuwa maskini,acheni mental slavery ya vyeti anzeni kufanya kazi kama wenzenu.

Muda na Nguvu unayotumia kutoa povu hapa ungeitumia kuweka mikakati na kufanya kazi Ili meiendelee kuwa maskini 😃😃
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…