ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 83,659
- 90,151
1.Dar =17.1T
2.Arusha=1.32T
3.Tanga=533.5B
4.Kilimanjaro =353.27B
5.Coast=294.9B
6.Songwe=294.5B
7.Mtwara=271.8B
8.Mwanza=242.8B
9.Dodoma=240.1B
10.Morogorogo=230.7B
11.Kagera=221.6B
12.Mara=201.7B
13.Mbeya=166.5
14.Geita=103.8B
15.Rukwa=94.2B
Angalizo
Hii ni Kwa mujibu wa kikokotoo changu mwenyewe baada ya kuchambua takwimu za Makusanyo ya TRA ya mwaka 2025/2026.
My Take
Mikoa yenye Bandari ,border posts na viwanja vya ndege vya Kimataifa imefanya vizuri.
Aidha miamala ya Tanapa na Ngorongoro imehesabiwa upande wa Arusha HQ na TAWA Morogoro HQ Yao.
Kilichonifurahisha zaidi ni maingizo mapya ya Rukwa &Geita,hii inaonesha Uchumi umeanza kuwa diversified ila sijui Kigoma,Ruvuma na Katavi wanafeli wapi ikiwa Mikoa hiyo Ina boda na Nchi za jirani.
Reference ni TRA 2025/26 Collections(Regionalwise data).