NdioYaani hiyo mikoa iliobaki yote ikiungana jumla ya mapato yao hayaifikii Dar,,
Siyo kweli.Zanzibar wanaingiza pesa zaidi ya hizo ukitoa Dar
Najua inakuchanganya. Ipo hivi, safari hii Mbeya imekuwa nje ya Top 10, lakini kwa miaka mingi imekuwa ikiingia Top 10 or top 5.Sijaelewa kusema mbeya ipo nyuma kimaendeleo kama singida. Yaani singida uifananishe na mbeya..
Dar es salaam, Mwanza, Arusha, Dodoma nayo nikwasasa kutokana na uwekezaji wa miundombinu unaofanywa na serikali, Mbeya, Tanga, iringa, morogoro, kahama japo si mkoa, labda na geita. Hizo ni sehemu ambazo ata mjini pako viziruri.
Wana Mbeya wanajipiganiaNajua inakuchanganya. Ipo hivi, safari hii Mbeya imekuwa nje ya Top 10, lakini kwa miaka mingi imekuwa ikiingia Top 10 or top 5.
Kimaendeleo haikuwahi kufanana na mchango wake kimapato. Wanajituma, wanapambana kuchangia pato la taifa, lakini vipaombele vya kimaendeleo vinapelekwa Kilimanjaro na Arusha, sanassna ambacho Mbeya ilikuja kuambulia ni mkoa kugawanywa na mapato kuathirika, lakini ikaendelea kubaki kwenye top 10.
Linapokuja swala la maendeleo, Mbeya inasahaurika kabisa, ndiyo maana ukiungalia mji ni kama haujapangika, umechakaa, yaani upo hovyo sababu unaendelezwa kwa jitihada binafsi za wananchi kila mmoja kwa wezo wake tofauti na mikoa mingine ambapo unakuta kuna standards sababu serikali na mashirika yanaenda kuwekeza kwa kujenga Mahotel, estates majengo ya ofisi n.k huku serikali nayo ikipeleka mafungu ya bajeti za kimaendeleo na kusimamia utekelezaji kwa wakati.
Ule Uwanja wa ndege wa Songwe kufikiwa tu maamuzi kuwa ujengwe ilikuwa ni vita, na hata fungu lilipotoka ili ujenzi uanze ikaibuka vita nyingine, wakina Lowasa wakipambana kuchepusha project ili fungu likaujenge Uwanja wa Arusha lakini akina Prof Mwandosya na Dkt. Mwakyembe na wenyewe wakasimama imara, bila hivyo, ule uwanja ingebaki story tu.
Angalia mradi wa barabara jinsi unavyosuasua hadi sasa wakati miradi ya barabara sehemu nyingine iliyokuja sawa au baada ya Mbeya inaendelea
Shukuruni Mtukula na RusumoHongera Kagera
Kwanini hakuna hata mkoa mmoja kutoka Zanzibar?1.Dar =17.1T
2.Arusha=1.32T
3.Tanga=533.5B
4.Kilimanjaro =353.27B
5.Coast=294.9B
6.Songwe=294.5B
7.Mtwara=271.8B
8.Mwanza=242.8B
9.Dodoma=240.1B
10.Morogorogo=230.7B
11.Kagera=221.6B
12.Mara=201.7B
13.Mbeya=166.5
14.Geita=103.8B
15.Rukwa=94.2B
Angalizo
Hii ni Kwa mujibu wa kikokotoo changu mwenyewe baada ya kuchambua takwimu za Makusanyo ya TRA ya mwaka 2025/2026.
My Take
Mikoa yenye Bandari ,border posts na viwanja vya ndege vya Kimataifa imefanya vizuri.
Aidha miamala ya Tanapa na Ngorongoro imehesabiwa upande wa Arusha HQ na TAWA Morogoro HQ Yao.
Kilichonifurahisha zaidi ni maingizo mapya ya Rukwa &Geita,hii inaonesha Uchumi umeanza kuwa diversified ila sijui Kigoma,Ruvuma na Katavi wanafeli wapi ikiwa Mikoa hiyo Ina boda na Nchi za jirani.
Reference ni TRA 2025/26 Collections(Regionalwise data).
Upo ila Mapato yanatenganishwaKwanini hakuna hata mkoa mmoja kutoka Zanzibar?
1.Tozo za Madini,mirahaba,leseni nkMkuu naomba unisaidie
Ukitoa mapato ya tra ni mapato Gani mengine nchi na mikoa hukusanya
Tanga inashika nafasi ya 3 lakini ukienda maeneo mengi ya huo Mkoa miundombinu yake ni duni! Hela zote mnapeleka Zanzibar.1.Dar =17.1T
2.Arusha=1.32T
3.Tanga=533.5B
4.Kilimanjaro =353.27B
5.Coast=294.9B
6.Songwe=294.5B
7.Mtwara=271.8B
8.Mwanza=242.8B
9.Dodoma=240.1B
10.Morogorogo=230.7B
11.Kagera=221.6B
12.Mara=201.7B
13.Mbeya=166.5
14.Geita=103.8B
15.Rukwa=94.2B
Angalizo
Hii ni Kwa mujibu wa kikokotoo changu mwenyewe baada ya kuchambua takwimu za Makusanyo ya TRA ya mwaka 2025/2026.
My Take
Mikoa yenye Bandari ,border posts na viwanja vya ndege vya Kimataifa imefanya vizuri.
Aidha miamala ya Tanapa na Ngorongoro imehesabiwa upande wa Arusha HQ na TAWA Morogoro HQ Yao.
Kilichonifurahisha zaidi ni maingizo mapya ya Rukwa &Geita,hii inaonesha Uchumi umeanza kuwa diversified ila sijui Kigoma,Ruvuma na Katavi wanafeli wapi ikiwa Mikoa hiyo Ina boda na Nchi za jirani.
Reference ni TRA 2025/26 Collections(Regionalwise data).
Jinga kweli,kwani imeanza awamu ya SSH kushika namba 3,miaka mingine pesa mlikuwa mnapeleka wapi?Tanga inashika nafasi ya 3 lakini ukienda maeneo mengi ya huo Mkoa miundombinu yake ni duni! Hela zote mnapeleka Zanzibar.