ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 83,659
- 90,151
Tukubakiane Kwa Sasa na mfumo wa centralization uliopo ,labda tukiandika Katiba Mpya tubadili namna ya administration pia itachia sana kukimbiza maendeleoMikoa kama Mbeya, Mtwara, Rukwa na Songwe inajipigania sana, itherwise kimapato na kimaendeleo ilitakiwa iwe kama Singida, Kagera, Tabora, Njombe, Iringa, Geita na Katavibna kwingineko.
Pamoja na ukweli kuwa uchangiaji wa mapato Wa mikoa hiyo lakini upelekaji wa maendeleo haufanani na vipaombele na maendeleo yanayopelekwa mikoa ya Kilimanjaro, Arusha au Mwanza.
Yenyewe kwenye kupelekewa miradi ya maendeleo huwa haisikiki, utasikia ikisikika kwenye top 20 or top 25 ya kuingoza kwa ukusanyaji mapato. Baadaye utasikia mikoa hiyo ikigawanywa kuundwa mikoa mipya
Swala la Katiba mpya hilo litabaki kuwa joto la nchi sababu kiuhalisia, katika hali ya kuomba kama hivi halitakuja litokee mchini…kamwe.Tukubakiane Kwa Sasa na mfumo wa centralization uliopo ,labda tukiandika Katiba Mpya tubadili namna ya administration pia itachia sana kukimbiza maendeleo
Sijaelewa kusema mbeya ipo nyuma kimaendeleo kama singida. Yaani singida uifananishe na mbeya..Mikoa kama Mbeya, Mtwara, Rukwa na Songwe inajipigania sana, itherwise kimapato na kimaendeleo ilitakiwa iwe kama Singida, Kagera, Tabora, Njombe, Iringa, Geita na Katavibna kwingineko.
Pamoja na ukweli kuwa uchangiaji wa mapato Wa mikoa hiyo lakini upelekaji wa maendeleo haufanani na vipaombele na maendeleo yanayopelekwa mikoa ya Kilimanjaro, Arusha au Mwanza.
Yenyewe kwenye kupelekewa miradi ya maendeleo huwa haisikiki, utasikia ikisikika kwenye top 20 or top 25 ya kuingoza kwa ukusanyaji mapato. Baadaye utasikia mikoa hiyo ikigawanywa kuundwa mikoa mipya
Zanzibar wanaingiza pesa zaidi ya hizo ukitoa DarPamoja na kuingiza mapato makubwa mkoa wa Zanzibar na pemba ndio itapata gawio kubwa.
Mkoa wenye makao Makuu ya TanapaMapato yanayotokana na Utalii katika Mbuga ya Serengeti yamehasabiwa kwenye Mkoa upi??
Soma vizuri ni 2015/26 japo Kuna error hapo Kwa headingData hii ni ya 2015 na 2020? Fafanua yaani 11 years ago ndo unaweka hapa huu mkeka?
Imejitahidi,Mikoa mingine inabebwa na Bandari, Boda na mbuga za wanyama na viwanja vya ndege vikubwa.Mbeya inatia huruma. Maana siyo kwa nafasi hiyo
Hongera Kagera1.Dar =17.1T
2.Arusha=1.32T
3.Tanga=533.5B
4.Kilimanjaro =353.27B
5.Coast=294.9B
6.Songwe=294.5B
7.Mtwara=271.8B
8.Mwanza=242.8B
9.Dodoma=240.1B
10.Morogorogo=230.7B
11.Kagera=221.6B
12.Mara=201.7B
13.Mbeya=166.5
14.Geita=103.8B
15.Rukwa=94.2B
Angalizo
Hii ni Kwa mujibu wa kikokotoo changu mwenyewe baada ya kuchambua takwimu za Makusanyo ya TRA ya mwaka 2025/2026.
My Take
Mikoa yenye Bandari ,border posts na viwanja vya ndege vya Kimataifa imefanya vizuri.
Aidha miamala ya Tanapa na Ngorongoro imehesabiwa upande wa Arusha HQ na TAWA Morogoro HQ Yao.
Kilichonifurahisha zaidi ni maingizo mapya ya Rukwa &Geita,hii inaonesha Uchumi umeanza kuwa diversified ila sijui Kigoma,Ruvuma na Katavi wanafeli wapi ikiwa Mikoa hiyo Ina boda na Nchi za jirani.
Reference ni TRA 2025/26 Collections(Regionalwise data).
Mbeya pia ina Madini Hususani Dhahabu ,Kiwanja cha Ndege ,Boda kule Kyela, Kiwanda cha Cement mbeya Cement kinachotegemewa Nyanda za Juu Kusini .Imejitahidi,Mikoa mingine inabebwa na Bandari, Boda na mbuga za wanyama na viwanja vya ndege vikubwa.
Vyote hivyo havipo Mbeya
Sehemu kubwa yanakusanywa kupitia Tume ya Madini.Mbeya pia ina Madini Hususani Dhahabu ,Kiwanja cha Ndege ,Boda kule Kyela, Kiwanda cha Cement mbeya Cement kinachotegemewa Nyanda za Juu Kusini .
Mfano Songwe Ina Vyanzo vichache sana vya Mapato ukilinganisha na Mbeya Lakini ipo juu ya Mbeya .
Kilimanjaro Ina boda za kuzidi plus KIA ndio maana Ina Mapato makubwa.Kilimanjaro hii hii ambayo inabezwa huku au
ArushaMapato yanayotokana na Utalii katika Mbuga ya Serengeti yamehasabiwa kwenye Mkoa upi??