BARD AI
JF-Expert Member
- Jul 24, 2018
- 3,591
- 8,826
Kwa mujibu taarifa ya Wizara ya Afya kuhusu mwenendo wa Ugonjwa Surua na Rubela nchini Tanzania kuanzia Julai 2022 hadi Februari 2023 jumla ya Mikao 20 imebaika kuwa na Wagonjwa. Mikoa ya Ukanda wa Pwani imetajwa kuongoza kwa idadi ya Wagonjwa ambapo hadi sasa takwimu za jumla mikoa hiyo ina Wagonjwa 667.
Mikoa ambayo imebainika kuwa na Ugonjwa wa Surua
1. Dar es Salaam
2. Pwani
3. Tanga
4. Morogoro
5. Mtwara
6. Lindi
7. Tabora
8. Kagera
9. Mbeya
10. Arusha
11. Katavi
12. Kigoma
13. Rukwa
14. Simiyu
15. Shinyanga
16. Dodoma
17. Geita
18. Mara
19. Ruvuma
20. Njombe
Idadi ya Wagonjwa waliobainika kuwa na Surua (Julai 2022-Februari 2023)
Wagonjwa Wote - 667
Watoto (Chini ya Mika 5)- 305
59% ya Wagonjwa hawajapata Chanjo
21% ya Wagonjwa hawajakamilisha Chanjo (Dozi 2)
Vifo - 12 (Watoto) - Katavi
Mikoa yenye Wagonjwa wengi zaidi wa Surua
1. Dar es salaam
2. Pwani
3. Tanga
4. Tanga
5. Morogoro
6. Mtwara
7. Lindi
Mikoa yenye Watoto ambao hawajakamilisha Chanjo
1. Tabora
2. Dar es Salaam
3. Arusha
4. Geita
5. Rukwa
6. Shinyanga
7. Manyara
8. Pwani
9. Singida
10. Ruvuma
11. Dodoma
12. Kigoma
13. Morogoro
14. Lindi
15. Songwe
16. Mtwara
17. Katavi
18. Iringa
19. Mbeya
Mikoa yenye Idadi kubwa ya Watoto ambao hawajapata Chanjo ya Surua
1. Kigoma
2. Kagera
3. Mara
4.Songwe
5. Manyara
6. Mbeya
Chanzo: Wizara ya Afya #JFAfyaJamii
Mikoa ambayo imebainika kuwa na Ugonjwa wa Surua
1. Dar es Salaam
2. Pwani
3. Tanga
4. Morogoro
5. Mtwara
6. Lindi
7. Tabora
8. Kagera
9. Mbeya
10. Arusha
11. Katavi
12. Kigoma
13. Rukwa
14. Simiyu
15. Shinyanga
16. Dodoma
17. Geita
18. Mara
19. Ruvuma
20. Njombe
Idadi ya Wagonjwa waliobainika kuwa na Surua (Julai 2022-Februari 2023)
Wagonjwa Wote - 667
Watoto (Chini ya Mika 5)- 305
59% ya Wagonjwa hawajapata Chanjo
21% ya Wagonjwa hawajakamilisha Chanjo (Dozi 2)
Vifo - 12 (Watoto) - Katavi
Mikoa yenye Wagonjwa wengi zaidi wa Surua
1. Dar es salaam
2. Pwani
3. Tanga
4. Tanga
5. Morogoro
6. Mtwara
7. Lindi
Mikoa yenye Watoto ambao hawajakamilisha Chanjo
1. Tabora
2. Dar es Salaam
3. Arusha
4. Geita
5. Rukwa
6. Shinyanga
7. Manyara
8. Pwani
9. Singida
10. Ruvuma
11. Dodoma
12. Kigoma
13. Morogoro
14. Lindi
15. Songwe
16. Mtwara
17. Katavi
18. Iringa
19. Mbeya
Mikoa yenye Idadi kubwa ya Watoto ambao hawajapata Chanjo ya Surua
1. Kigoma
2. Kagera
3. Mara
4.Songwe
5. Manyara
6. Mbeya
Chanzo: Wizara ya Afya #JFAfyaJamii