Ni ya pili kwa maisha bora ukiachana na dar life yao iko wastani kilimanjaro hakuna maskini wa kutupa hapo ndo inapopiga gap chuga maana yake chuga wanafaika ni wachache sana ila wanadanganywa na mahoteli tu ila kwa mtu kama mtu ni hali mbayaNadhani walichozingatia hapo ni hali kibiashara na mzunguko wa fedha kwenye mikoa tajwa.......kuwa kwenye mzunguko mkubwa wa fedha ni jambo la kwanza na kuzitumia hizo pesa kuboresha maisha yako ni jambo la pili......
Ni kama ofisini ambapo Kuna mtu analipwa 400,000/= lakini anazitumia vyema kujiboreshea maisha yake kuliko hata yule anayelipwa milioni lakini ukitazama kipato utamuona huyo mwenye milioni yupo juu......
Mikoa iliyo kwenye top five ina shughuli nyingi sana za kiuchumi, kipimo , biashara na viwanda kama ulishawahi kufika maeneo hayo utakuwa shahidi katika hili.........
Pamoja kujishughulisha na yote lakini wameshindwa kuboresha standard za maisha yao.......
Kiujumla Ukiacha Dar es salaam hakuna mkoa unaoifikia Kilimanjaro kwa standard ya maisha.......maana yake Wana Kilimanjaro wametumia vyema rasilimali zao kujiboreshea maisha yao......
Kilimanjaro wanaishi vizuri kuona waokota makopo tu ni nadra usafi kila kona