Wew unaijua iringa vizuri au unaisikia watu wanalima kule kama wehu na ni moja kati ya mkoa wenyewe ardhi kubwa sana Kwa ajili ya kilimo karibu Kila zao linakubali mahindi, alizeti,nyanya,vitungu,viazi,miti,chai,pareto,viazi,pia wanafuga sana Kuna wazungu wametoka marekani wamenda kuwekeza kule wanalima mahindi tu mishamba Kwa mishamba na wanauza nchi za nje na hawataki kuondoka wanaita ndugu zao Kila siku haya wa Congo wamejaa kule wanalima vitunguu swaumu wakauze kwao ishu huwezi linganisha Geita na iringa Ata kama wanachimba dhahabu yenyewe unakuta wanaofaidi ni wachache tu