Mikoa 5 Tajiri Tanzania na Mikoa 5 maskini zaidi Tanzania 2020

Ni ya pili kwa maisha bora ukiachana na dar life yao iko wastani kilimanjaro hakuna maskini wa kutupa hapo ndo inapopiga gap chuga maana yake chuga wanafaika ni wachache sana ila wanadanganywa na mahoteli tu ila kwa mtu kama mtu ni hali mbaya

Kilimanjaro wanaishi vizuri kuona waokota makopo tu ni nadra usafi kila kona
 

Amen. Kilimanjaro wanajua vyema kilicho waleta Duniani. luambo makiadi
 
Ahsante kwa taarifa mtoa mada,ila GDP haiusiani na standard ya maisha,Kwa mfano hali ya maisha ya watu wengi wa mbeya ni nzuri kuliko iringa ila kwenye list iringa ipo juu ya mbeya,naiishi hii mikoa miwili so naijua,mfano mwengine ukitazama GDP ya china ni kubwa kuliko ya Wingereza(UK) lakini kiuhalisia mwingereza na standard nzuri ya maisha kuliko china,pia nchi za Scandinavia raia wana maisha mazuri kuliko hizo USA, UK, China etc lakn ktk standards ni kinyume chake.Pia nashukuru kwa kuwajuza watu fursa za nyanda za juu kusini
 
Kumbe kagera wana hali mbaya kiuchumi! Wenyeji wa huko wana tambo sana
 
Siku zote mkoa wa MBEYA hujawahi kuwa chini kielimu,,,, wala kiuchumi

Swali la kujiuliza

je pamoja na MWANZA kupewa sifa Sana ........imezidiwa ,hadi na RUVUMA
 
Siku zote mkoa wa MBEYA hujawahi kuwa chini kielimu,,,, wala kiuchumi

Swali la kujiuliza

je pamoja na MWANZA kupewa sifa Sana ........imezidiwa ,hadi na RUVUMA

Watu wa mikoa ya nyanda za juu kusini kwa ujumla imepiga hatua , lakini si rahisi kuona nyuzi zake humu jf au kwengineko sababu sio kipaumbele cha wanasiasa,
Ni muhimu sasa watu wachangamkie fursa huku kusini, I see a great future ahead..
 
Watu wa mikoa ya nyanda za juu kusini kwa ujumla imepiga hatua , lakini si rahisi kuona nyuzi zake humu jf au kwengineko sababu sio kipaumbele cha wanasiasa,
Ni muhimu sasa watu wachangamkie fursa huku kusini, I see a great future ahead..
Kabisa mkuu
 
Siyo kweli
 
Hivi kumbe tofali za kuchoma ni umasikini? I see Tanzania imejaa vivutio na wewe ni kimojawapo!
Wewe hujamuelewa anachomaanisha,anategemea mkoa tajiri akija akute watu wamejenga mijengo ya kisasa yenye hadhi au nyumba zenye floor kadhaa kwenda juu kama ilivyo kwa watu wa Kagera hadi vijijini huko kuna nyumba kama za Mbezi beach japo hapa imeorodheshwa kwenye list ya mikoa maskini.
 
Iringa, Ruvuma na Mbeya mbona bado wanajenga nyumba za tofali za kuchoma katikati ya miji yao na wana hela? 🤔

Yani Mbeya town kabisa kuna nyumba za tofali za kuchoma sio za mwaka 2000 wala 2010 zinajengwa hadi kesho
Tofali zile ndogo za kuchoma ni gharama Sana kuliko block
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…