United ya Ferguson
JF-Expert Member
- Oct 29, 2021
- 3,132
- 6,353
Wew unaijua iringa vizuri au unaisikia watu wanalima kule kama wehu na ni moja kati ya mkoa wenyewe ardhi kubwa sana Kwa ajili ya kilimo karibu Kila zao linakubali mahindi, alizeti,nyanya,vitungu,viazi,miti,chai,pareto,viazi,pia wanafuga sana Kuna wazungu wametoka marekani wamenda kuwekeza kule wanalima mahindi tu mishamba Kwa mishamba na wanauza nchi za nje na hawataki kuondoka wanaita ndugu zao Kila siku haya wa Congo wamejaa kule wanalima vitunguu swaumu wakauze kwao ishu huwezi linganisha Geita na iringa Ata kama wanachimba dhahabu yenyewe unakuta wanaofaidi ni wachache tuIringa imeipita Geita, mkoa wa "madhahabu?"
Wew unaijua iringa vizuri au unaisikia watu wanalima kule kama wehu na ni moja kati ya mkoa wenyewe ardhi kubwa sana Kwa ajili ya kilimo karibu Kila zao linakubali mahindi, alizeti,nyanya,vitungu,viazi,miti,chai,pareto,viazi,pia wanafuga sana Kuna wazungu wametoka marekani wamenda kuwekeza kule wanalima mahindi tu mishamba Kwa mishamba na wanauza nchi za nje na hawataki kuondoka wanaita ndugu zao Kila siku haya wa Congo wamejaa kule wanalima vitunguu swaumu wakauze kwao ishu huwezi linganisha Geita na iringa Ata kama wanachimba dhahabu yenyewe unakuta wanaofaidi ni wachache tu
Lakini ardhi ya Kagera inaonekana ni nzuri sana.Kumbe kagera wana hali mbaya kiuchumi! Wenyeji wa huko wana tambo sana
Iringa ni kama nimepita tu, nililala kama siku mbili hivi. Kwa nilivyopaona, panaonekana wanaoishi huko ni watu wenye "akili"Wew unaijua iringa vizuri au unaisikia watu wanalima kule kama wehu na ni moja kati ya mkoa wenyewe ardhi kubwa sana Kwa ajili ya kilimo karibu Kila zao linakubali mahindi, alizeti,nyanya,vitungu,viazi,miti,chai,pareto,viazi,pia wanafuga sana Kuna wazungu wametoka marekani wamenda kuwekeza kule wanalima mahindi tu mishamba Kwa mishamba na wanauza nchi za nje na hawataki kuondoka wanaita ndugu zao Kila siku haya wa Congo wamejaa kule wanalima vitunguu swaumu wakauze kwao ishu huwezi linganisha Geita na iringa Ata kama wanachimba dhahabu yenyewe unakuta wanaofaidi ni wachache tu
Maneno ya Kiswahili tu haya.Pambana na maisha yako na ya familia yako....hulishwi na mkoa
Takwimu uchwara hiziIringa imeipita Geita, mkoa wa "madhahabu?"
Nadhani walichozingatia hapo ni hali kibiashara na mzunguko wa fedha kwenye mikoa tajwa.......kuwa kwenye mzunguko mkubwa wa fedha ni jambo la kwanza na kuzitumia hizo pesa kuboresha maisha yako ni jambo la pili......
Ni kama ofisini ambapo Kuna mtu analipwa 400,000/= lakini anazitumia vyema kujiboreshea maisha yake kuliko hata yule anayelipwa milioni lakini ukitazama kipato utamuona huyo mwenye milioni yupo juu......
Mikoa iliyo kwenye top five ina shughuli nyingi sana za kiuchumi, kipimo , biashara na viwanda kama ulishawahi kufika maeneo hayo utakuwa shahidi katika hili.........
Pamoja kujishughulisha na yote lakini wameshindwa kuboresha standard za maisha yao.......
Kiujumla Ukiacha Dar es salaam hakuna mkoa unaoifikia Kilimanjaro kwa standard ya maisha.......maana yake Wana Kilimanjaro wametumia vyema rasilimali zao kujiboreshea maisha yao......
Unamaanisha tofali za kuchoma ni tatizo?Iringa, Ruvuma na Mbeya mbona bado wanajenga nyumba za tofali za kuchoma katikati ya miji yao na wana hela? [emoji848]
Yani Mbeya town kabisa kuna nyumba za tofali za kuchoma sio za mwaka 2000 wala 2010 zinajengwa hadi kesho
Huyo jamaa ni limbukeni
Hadi Uingereza kuna Tofali za kuchoma ...Iringa, Ruvuma na Mbeya mbona bado wanajenga nyumba za tofali za kuchoma katikati ya miji yao na wana hela? 🤔
Yani Mbeya town kabisa kuna nyumba za tofali za kuchoma sio za mwaka 2000 wala 2010 zinajengwa hadi kesho