Kijana LOGICS
Senior Member
- Dec 16, 2023
- 140
- 536
Ok1.MARA
Hadi Leo wanatumia probox namba A kama daladala
Wakazi WA huko Wana hasira muda wote wapo kisharishari
Walimu WA wengi WA shule za vijijini wamepanga mjin asubuhi wanawasha mapikikipi wanapakizana wawili wanaenda shule
2-SIMIYU
Population ni kubwa sana uchumi umedorora Kila familia ina mganga wake wakazi washazoea shida kwa iyo furaha kwao ni shida.
3-mtwara n'a Lindi
Sehemu kubwa ni pori lenye maadhi ya jangwa vijana wengi wamekimbilia dar wamebaki wazee .
4-TABORA
hakuna Cha maana Tabora zaidi ya nyumba kuukuu
Maisha ni d'uni hakuna center nzuri
Duh1.MARA

Mara moja Ila still long Way to gowe kwenu wapi?
basi peleka marcopolo G7 kama 5 tu zikawahudumie ndugu zako. alafu waalimu uwajengee nyumba na miundombinu wabaki huko vijijiniMara moja Ila still long Way to go
Hii vita utaipigana mwenyewe mkuu...😜Ongeza na Kagera
Akikutajia nina uhakika atasema "lakini tulihamia Dar..🤣"we kwenu wapi?
Waalimu tatizo siyo nyumba wanaogopa kuchapwa na akina "mura" bila sababu.basi peleka marcopolo G7 kama 5 tu zikawahudumie ndugu zako. alafu waalimu uwajengee nyumba na miundombinu wabaki huko vijijini
Hiyo mentality ndio inawaponza, umaskini is not normal2-SIMIYU
Population ni kubwa sana uchumi umedorora Kila familia ina mganga wake wakazi washazoea shida kwa iyo furaha kwao ni shida
Hii kali 😅asee
Zote mbwembwe utajiri/umasikini unapimwa kwa maisha ya Kila Siku ya MTU mojamoja katika angle ya basics needsOk
Mkuu kwako Maendeleo ni kitu gani?
Maendeleo unayapima kwa kipimo gani?
Je maendeleo ni majengo?
Je maendeleo ni pesa?
Je maendeleo ni barabara?
Je unaongelea maendeleo ya mtu binasfsi?
Labda ni kusaidie maendeleo yanatafsiriwa kwa kutumia kanuni za uchumi ambazo pia zina mapungufu
Maendeleo hupimwa kwa pato la Taifa (GDP) ambalo sasa unaweza kujua kila mkoa au sekta imechangia kwa kiasi gani?
Mfano maeneo yenye mali ghafi na viwanda n i rahisi kuona yamechangia pato kubwa kwa Taifa,Lakini tukiligawa kwa idadi ya watu wa eneo hilo yawezekana kuna umaskini wa kutisha
Mfano ,Mtwara kuna bandari na kuna kiwanda kikubwa cha cement ,Pia ndiko kuna korosho zinazoingiza pesa za kigeni ,Je mapato ya bandari ya mtwara na mapato ya korosho ni kiasi gani?
Utafiti wako una utata. Namba moja hapo weka mkoa wa Kagera1.MARA
Hadi Leo wanatumia probox namba A kama daladala
Wakazi WA huko Wana hasira muda wote wapo kisharishari
Walimu WA wengi WA shule za vijijini wamepanga mjin asubuhi wanawasha mapikikipi wanapakizana wawili wanaenda shule
2-SIMIYU
Population ni kubwa sana uchumi umedorora Kila familia ina mganga wake wakazi washazoea shida kwa iyo furaha kwao ni shida.
3-Mtwara na Lindi
Sehemu kubwa ni pori lenye maadhi ya jangwa vijana wengi wamekimbilia dar wamebaki wazee .
4-TABORA
hakuna Cha maana Tabora zaidi ya nyumba kuukuu
Maisha ni duni hakuna center nzuri
Huo ni uchumi wako ambao hautambuliki na IMF na WBZote mbwembwe utajiri/umasikini unapimwa kwa maisha ya Kila Siku ya MTU mojamoja katika angle ya basics needs
kichwa chako siyo kizima. probox yenye namba A inaweza kutembea kwenye rough road?1.MARA
Hadi Leo wanatumia probox namba A kama daladala
Wakazi WA huko Wana hasira muda wote wapo kisharishari
Walimu WA wengi WA shule za vijijini wamepanga mjin asubuhi wanawasha mapikikipi wanapakizana wawili wanaenda shule
2-SIMIYU
Population ni kubwa sana uchumi umedorora Kila familia ina mganga wake wakazi washazoea shida kwa iyo furaha kwao ni shida.
3-Mtwara na Lindi
Sehemu kubwa ni pori lenye maadhi ya jangwa vijana wengi wamekimbilia dar wamebaki wazee .
4-TABORA
hakuna Cha maana Tabora zaidi ya nyumba kuukuu
Maisha ni duni hakuna center nzuri
basi hao kina mura ni wajinga tu maana watoto wao ndio wenye uhitaji wa elimu ubabe wa kizamani hauna mipango karne hiiWaalimu tatizo siyo nyumba wanaogopa kuchapwa na akina "mura" bila sababu.
Wao Wana genelaHuo ni uchumi wako ambao hautambuliki na IMF na WB
Tunaongelea vigezo vya kimataifa vya ukuaji vya IMF na World Bank
Nimezaliwa Mara naelewa hakuna kujifariji izo namba d ni Chache mno nyingi namba A na Bkichwa chako siyo kizima. probox yenye namba A inaweza kutembea kwenye rough road?
umesimuliwa huu ujinga
mi nipo hapa tarime ,asilimia 90 ya probox zinatoka tarime kwenda nyamongo na sirari zina namba E
chache zina D
Au unaongelea Mara ipi mkuu