Mikoa ambayo haijawahi kuwa na mkuu wa Mkoa Mwanamke

Orketeemi

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2013
Posts
5,063
Reaction score
12,866
Nimekaa nikavuta kumbukumbu na kuona kuwa pamoja na kuishi Sana Tanzania sijapata kusikia mwanamke akiteuliwa kuongoza mkoa wowote Kati ya hii.

1. Mbeya
2. Mwanza
3...
4.....

Hivi ni Kwa nini?

Usiitaje Dar , maana Dar imewahi kuongozwa na mwanamama Jasiri ( Mary Chipungahelo " Mary Chipsi"
 
Nimekaa nikavuta kumbukumbu na kuona kuwa pamoja na kuishi Sana Tanzania sijapata kusikia mwanamke akiteuliwa kuongoza mkoa wowote Kati ya hii.

1. Mbeya
2. Mwanza
3...
4.....

Hivi ni Kwa nini?
Huko kiumeni
 
Kwahiyo Elizabeth Ngoye alitewahi kuwa mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro akitokea Mbeya alikuwa ni Bibi yako?
 
Halima Dendego wa Iringa ni mkweo au?
 
Mara
 
Hii nayo ni maada?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…