Uchaguzi 2020 Mikoa ambayo panapo majaliwa, Lissu ataongoza kwa kupata kura nyingi

Kagera umeisahau,Jiwe hahitajiki kabisa huko.
 
Wewe acha uzuzu.. unataka kusema sisi watu wa dodoma ndio vilaza kiasi cha kuchagua meko?

 
Ruvuma futa rafiki yangu,Hawa jamaa Bado Sana Huko Ni CCM tu.
 
Wasubiri mataga kwa watakavyo kuja na mapipa ya mapovu wakibisha hasa watakwambia umekosea kuitaja mwanza
 
Kwanini SINGINDA asoipate walau 90%???

Au kwao hawana mwamko wa kutaka mabadiriko???
 
Hahahaha mnahaha kama watu waliokula maganda ya magimbi sasa yanayawasha makalioni mnahaha kujikuna...

Time is a good teacher.
Mmekwama sana safari hii na ndiyo mtakuwa watu wa kwanza kuichimbia ccm kaburi
 
Zinduka kutoka ndotoni mkuu hizo zote ni ndoto za mchana kweupe 😁
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…