Uchaguzi 2020 Mikoa ambayo panapo majaliwa, Lissu ataongoza kwa kupata kura nyingi

Huu mwaka huu
 
Duh,umenikumbusha! Mbeya ndio itakuwa balaa.

Manyara haitokuwa tofauti na Arusha.
Mbeya labda mjini kwa Sugu sio huko kwengine maana walikuwa na jimbo moja tuu 2015,usichanganye na Songwe ni mkoa mwengine.
 
Polepole jamanu Kuna mtu huku presha inapanda na kushuka alishafanya na maandalizi kabisa akabeba echo na ventilator mashine akapeleka nyumbani kwake kutoka bugando hospital .
 
Sijui mnatumia vigezo gani kusema Lisu atapata kura nyingi Arusha kuliko JPM . Mimi naishi Arusha napenda kukuhakikishia kwamba JPM anakubalika sana kwenye hii kada ya chini na kwa mara ya kwanza CCM watavuna kura nyingi kupitia JPM hasa wakina mama wajasiria mali
 
Wapenda haki bado wapo.
Hapa tujue shida ipo kwa watawala na chama chao kijani. Upande huu wa pili lazima kujitambua kwani CCM wana ile tabia ya timu ushindi. Kura zinapigwa vizuri wao waTume wanabeba kwenda hesabu. Huku nyuma wakishaweka namba zao tayari.
Kipindi hiku kura zihesabiwe hapo hapo mezani saa mbili wakimaliza kupiga hakuna kutoa box la kura.
Jicho kwa jicho ndio ufumbuzi mbadala.
 
Ngoja waje
 
Wee salary mbona umesahau kule alipowaambia teteko hakuleta yeye!
Hata Geita pia kuna Kipindi alisimana barabarani wananchi wakamwambia baba njaa nae akawajibu mlitaka mimi nije kuwapikia?
 
umesahau unguja na Pemba kwa Maalim, Kigoma kwa Zitto mpaka Tabora (ngome ya CUF ya zamani) , Ukija Mkoa wa Pwani wenye MKIRU kote huko Magufuli ni unpopular, then Njoo Singida nyumbani kwa Lissu mwenyewe ushuke hadi Kondoa then ukijumlisha na mikoa uliyoitaja, Magufuli anachapika asubuhi na mapema tu
 
Kijani hujiandikisha na hupiga kura,kura za mtandao ni tofauti kabisa na uhalisia.
Na wakati wa zoezi la uandikishaji walikuwa wanabeza eti watu wamechoka na chaguzi zisizo na faida nk, ccm walihamasisha wanachama wao kujiandikisha kwa wingi
 





Ondoa kabisa Singida hapo, pamoja na kwao hataambulia kitu mzee.

Subiri utaona.
 
.Serikali ya awamu ya tano kuwapa kisogo wananchi na kukumbatia maendeleo ya vitu.

Hili jambo la Maendeleo ya Vitu vs Maendeleo ya Watu wanaLumumba linawapa taaabu sana wameshindwa kabisa kujitetea.

Mbaya zaidi CCM Mpya walilipuuzia, watu walipokuwa wanaelezea umuhimu wa sera hii inayoeleweka kwa urahisi Maendeleo ya Watu na mguso wake kwa waTanzania wote bila kujali walipo iwe vijijini ndani ndani, miji midogo na mikubwa kona zote za nchi.
 
Maendeleo ni kwa wote sio kwamba kusiko na wanachama wa CCM maji ná umeme havifiki. Siasa za CCM ni za kishamba sana eti msipochagua CCM maendeleo hatuleti.
 
Tabu ninyi wapinzani.. ni washamba na wakuja na ...... munafikiri muntu anakaa tu na kujiandikia.. kama haya!!!.. Omba mufundishwe haya munasomaga.. yanatokeaje.. mujue sio kuona umati wa watu.. ndiwo munafikiri mutashinda.. kwa awamu hii na mafanikio mengi.. pokea pole kwa niaba ya wenzako na viongozi wenu.. munatutia aibu Tanzanians kwa kweli..
 
Aise
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…