Mikoa ambayo wanalima mazao ya biashara Kama korosho, mbaazi, na tumbaku wanasema mama aongoze hii nchi till she dies

Mikoa ambayo wanalima mazao ya biashara Kama korosho, mbaazi, na tumbaku wanasema mama aongoze hii nchi till she dies

Ikitotanzila

JF-Expert Member
Joined
Sep 22, 2020
Posts
1,409
Reaction score
2,263
Jamani nimejitahidi Sana kuzungukia mikoa Kama mtwara, tabora, singida. Nimekuta watu wanamsifu Sana mama kwa masoko ya uhakika kwa mazao hayo tofauti na mwendazake ambaye aliolua masoko kabisa.

Wanasema mama for presidency forever
 
Kwani tumeshauza msimu hata mmoja wa korosho tangu mama aingie mpaka tuseme baah bwanawewe
 
Mikoa mingine biashara ya utumwa ilipita,kwa hiyo wakisifia sawa tu
 
Kwenye hili sina deni na samia, ameineemesha tabora mwaka huu.
 
Magufuri aliianza ivi ivi kutaka kutawala milele , Leo milele kafa
 
Wakulima tunamshukuru sana mama kwa kuacha soko la Africa mashariki liamue bei!!!!
Live long Samia....be blessed
 
Back
Top Bottom