I Ikitotanzila JF-Expert Member Joined Sep 22, 2020 Posts 1,409 Reaction score 2,263 Jul 25, 2022 #1 Jamani nimejitahidi Sana kuzungukia mikoa Kama mtwara, tabora, singida. Nimekuta watu wanamsifu Sana mama kwa masoko ya uhakika kwa mazao hayo tofauti na mwendazake ambaye aliolua masoko kabisa. Wanasema mama for presidency forever
Jamani nimejitahidi Sana kuzungukia mikoa Kama mtwara, tabora, singida. Nimekuta watu wanamsifu Sana mama kwa masoko ya uhakika kwa mazao hayo tofauti na mwendazake ambaye aliolua masoko kabisa. Wanasema mama for presidency forever
Benjamini Netanyahu JF-Expert Member Joined Aug 7, 2014 Posts 95,871 Reaction score 116,627 Jul 25, 2022 #2 Labda mumeo ndiyo anaomba hivyo sababu yeye ni kibarua mradi apate chochote cha kujikimu siku hiyo
The Sunk Cost Fallacy JF-Expert Member Joined Dec 1, 2021 Posts 19,582 Reaction score 14,167 Jul 25, 2022 #3 Wakulima wote awamu hii wanakula shushu.
Zjilala JF-Expert Member Joined Jun 17, 2013 Posts 427 Reaction score 417 Jul 25, 2022 #4 Kwani tumeshauza msimu hata mmoja wa korosho tangu mama aingie mpaka tuseme baah bwanawewe
Anko Bantu JF-Expert Member Joined Aug 6, 2018 Posts 832 Reaction score 1,034 Jul 25, 2022 #5 Mikoa mingine biashara ya utumwa ilipita,kwa hiyo wakisifia sawa tu
Satoh Hirosh JF-Expert Member Joined Mar 30, 2021 Posts 6,432 Reaction score 25,646 Jul 25, 2022 #6 Propaganda at work!!
PureView zeiss JF-Expert Member Joined Sep 5, 2016 Posts 10,786 Reaction score 35,916 Jul 25, 2022 #7 Nipo MTWARA hapa mbona hizo kauli hazipo Acha kulisha watu matango pori
N nyakubonga JF-Expert Member Joined Apr 5, 2015 Posts 5,960 Reaction score 9,978 Jul 25, 2022 #8 Kwenye hili sina deni na samia, ameineemesha tabora mwaka huu.
kitonsa JF-Expert Member Joined Aug 15, 2011 Posts 1,211 Reaction score 2,649 Jul 25, 2022 #9 Magufuri aliianza ivi ivi kutaka kutawala milele , Leo milele kafa
M Marytina JF-Expert Member Joined Jan 20, 2011 Posts 9,585 Reaction score 7,766 Jul 25, 2022 #10 Wakulima tunamshukuru sana mama kwa kuacha soko la Africa mashariki liamue bei!!!! Live long Samia....be blessed
Wakulima tunamshukuru sana mama kwa kuacha soko la Africa mashariki liamue bei!!!! Live long Samia....be blessed
ndege JOHN JF-Expert Member Joined Aug 5, 2015 Posts 21,643 Reaction score 51,642 Jul 25, 2022 #11 Satoh Hirosh said: Propaganda at work!! Click to expand... Mtoa maada hajui Kama tupo Kanda ya kusini Huku.
Satoh Hirosh said: Propaganda at work!! Click to expand... Mtoa maada hajui Kama tupo Kanda ya kusini Huku.