Parrot_2024
Member
- Dec 16, 2017
- 63
- 28
Habari zenu wakuu,
Naomba nijuwe kwa mawazo yenu ni mkoa gani nzuri kwa kuishi ukiwa umeajiriwa.
Nashkuru
Naomba nijuwe kwa mawazo yenu ni mkoa gani nzuri kwa kuishi ukiwa umeajiriwa.
Nashkuru
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkoa uliopata ajira....haina maana sana hata ukiambiwa Mkoa wa Morogoro na wewe umeajiriwa Dodoma, utafanya nini sasa!Habari zenu wakuu,
Naomba nijuwe kwa mawazo yenu ni mkoa gani nzuri kwa kuishi ukiwa umeajiriwa.
Nashkuru
Asante MkuuMkoa ni kitu kikubwa sana, unaweza ukawa umeajiriwa mkoa wa Dar lakini ukawa unaishi maeneo ya ndani ndani kidogo na ukijikuta hata umeme mahali ulipo hakuna!
Issue ni sehemu ipi ya Mkoa umeajiriwa? Je ni makao makuu ya mkoa (mji wa mkoa ulipo) au wilayani. Kama jibu ni makao makuu ya mkoa ndio ajira yako inasoma, pasipo kuangalia factors nyingine zozote basi unaweza kuishi fresh mikoa yote kasoro mkoa wa Dar, Mwanza, Arusha na Dodoma
Nashkuru sana Dar ilikuwa ipo kichwani sana ila watu wengi hawashauri DarDar ondoa kwenye list ukiwa mwajiriwa mpya ni kujiongezea umaskini.
Kwa mtu anayeanza kazi Dar mara nyingi utapata makazi mbali na mji na usafiri Dar ni tatizo kubwa sana.Nashkuru sana Dar ilikuwa ipo kichwani sana ila watu wengi hawashauri Dar
Dar pagumu kwa watu ambao bongo zao huwa zina load ma file kwa speed ya Kobe.Kwa mtu anayeanza kazi Dar mara nyingi utapata makazi mbali na mji na usafiri Dar ni tatizo kubwa sana.
Huu mji haufai kabisa watu wanaishi kwa mazoea tu.
Utakuwa tapeli la Dar wewe.Dar pagumu kwa watu ambao bongo zao huwa zina load ma file kwa speed ya Kobe.