Mikoa gani mizuti kuishi ukiwa umeajiriwa?

Utakuwa tapeli la Dar wewe.
Piga hesabu mtu anayeishi Kimara mwisho au Bonyokwa na anafanyia kazi posta au Bunju na unafanyia kazi posta.
Tatizo kubwa la Dar kwa watu wa maofisini ni foleni kubwa na kuwahi ofisini jambo ambalo litakulazimu uamke mapema mno na uchelewe kurudi nyumbani.

Naijua Dar kuliko hata wewe..nimeanza kuishi kabla babako hajapiga bao uzaliwe.
Daah😳
 
Sasa unawezaje kuishi kimara wakati unafanya kazi posta na mshahara wako ni laki nne, a smart person ataenda kuishi kigamboni.
 
Back
Top Bottom