GE2025 Mikoa ifuatayo haikuwa na maandalizi ya maandamano na hawakuandamana

GE2025 Mikoa ifuatayo haikuwa na maandalizi ya maandamano na hawakuandamana

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Mwana parokia

JF-Expert Member
Joined
Sep 27, 2023
Posts
1,193
Reaction score
2,066
1. Tabora, wanyamwezi mnatuchelewesha kupata Tanganyika yetu amkane
2. Ruvuma (Wangoni, wamatengo na wayao achane ujinga)
3. Kigoma (Waha amkeni nyie ni miongoni mwa mikoa iliyosahaulika kimaendeleo lakini hatakuandamana hamtaki)
4. KAGERA(Wahaya nyie hata mji wenu hakuna hata stand ya mabasi, mnajiona mmesoma hata ajira zenyewe hamna)
5. IRINGA
6. SIMIYU
7. SINGIDA
8. SHINYANGA
9. MANYARA
10. GEITA

Hii mikoa na watu wake wangeandamana jkesho yake JESHI LINGECHUKUA NCHI
 
Kwa kilichotokea ni bora hawajaandamana.
 
Geita?????

toa kabisa, mkoa mpyaaa ila shughuri yake ni zaidi ya jiji la Tanga la miaka na miaka tangu mkoloni
 
Mikoa mdebwedo rojorojo kwenye kupigania haki mwaka huu ilikuwa

Tanga
Lindi
Kagera
Dodoma kisa wanauziwa simenti za wizi wa miradi ya serikali
Katavi walikuwa malishoni

Na mikoa mingine wasindikizaji.
 
Geita?????

toa kabisa, mkoa mpyaaa ila shughuri yake ni zaidi ya jiji la Tanga la miaka na miaka tangu mkoloni
amenishtua sana kuiona geita kwenye list show ilifanyika ya muda mfupi matokeo ni makubwa zaidi Oil stations zimewaka baadhi ya mahotel yamewaka baadhi ya offices zimewaka tawi la tigo limewaka office ya ccm iliponea chupu chupu pia maafa ni makubwa sana
 
Back
Top Bottom