Malaika wa Misukosuko
JF-Expert Member
- Jul 16, 2021
- 2,881
- 8,658
Dodoma kiliwaka vibayaHiyo mikoa hapo juu karibia yote waliandamana
Tanga na dodoma ndo hawakuandama nazani
Dodoma kiliwaka vibayaHiyo mikoa hapo juu karibia yote waliandamana
Tanga na dodoma ndo hawakuandama nazani
Kabiiiiiiisa
Kwa comment zilizofuata nashauri futa huu uzi uje au uje na data sahihi1. Tabora, wanyamwezi mnatuchelewesha kupata Tanganyika yetu amkane
2. Ruvuma (Wangoni, wamatengo na wayao achane ujinga)
3. Kigoma (Waha amkeni nyie ni miongoni mwa mikoa iliyosahaulika kimaendeleo lakini hatakuandamana hamtaki)
4. KAGERA(Wahaya nyie hata mji wenu hakuna hata stand ya mabasi, mnajiona mmesoma hata ajira zenyewe hamna)
5. IRINGA
6. SIMIYU
7. SINGIDA
8. SHINYANGA
9. MANYARA
10. GEITA
Hii mikoa na watu wake wangeandamana jkesho yake JESHI LINGECHUKUA NCHI