Mwana parokia
JF-Expert Member
- Sep 27, 2023
- 1,193
- 2,066
Arudie upya kukusanya data.Hauko well informed,shinyanga waliandamana,Kuna mauaji ya watu wengi sana,geita hivyo hivyo,Simiyu Nako hivyo hivyo,sijui manyara
Dodoma vijana wameuliwa wengi sana. Walianza jumatano saa moja usiku na alhamisi palikuwa hapakaliki kabisaHiyo mikoa hapo juu karibia yote waliandamana
Tanga na dodoma ndo hawakuandama nazani
Na dodoma waliandamana?Dodoma vijana wameuliwa wengi sana. Walianza jumatano saa moja usiku na alhamisi palikuwa hapakaliki kabisa
Dodoma ipi? labda Tanga. Lindi na Pwani.Hiyo mikoa hapo juu karibia yote waliandamana
Tanga na dodoma ndo hawakuandama nazani
Aisee mimi mwenyewe sikudhani kama wataandamana ila nilichokiona ni hatari. Kama una watu waulize, watu tumeshindwa hata kufika hapo Moro tu kutokana na mtifuano.Na dodoma waliandamana?
amenishtua sana kuiona geita kwenye list show ilifanyika ya muda mfupi matokeo ni makubwa zaidi Oil stations zimewaka baadhi ya mahotel yamewaka baadhi ya offices zimewaka tawi la tigo limewaka office ya ccm iliponea chupu chupu pia maafa ni makubwa sanaGeita?????
toa kabisa, mkoa mpyaaa ila shughuri yake ni zaidi ya jiji la Tanga la miaka na miaka tangu mkoloni