ephen_
JF-Expert Member
- Oct 28, 2022
- 14,949
- 54,485
Mna sura nzuri, rangi zimetulia kama Waethiopia☺️tatizo meno ndio ya ChocolateFrom Arusha tupo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mna sura nzuri, rangi zimetulia kama Waethiopia☺️tatizo meno ndio ya ChocolateFrom Arusha tupo
Unapiga mulemule mdogo wangu mzuriMna sura nzuri, rangi zimetulia kama Waethiopia☺️tatizo meno ndio ya Chocolate
Maji ChangamotoMna sura nzuri, rangi zimetulia kama Waethiopia☺️tatizo meno ndio ya Chocolate
Napitaga mara moja moja mkuu 😂😂Nimefurahi kwanza kukuona Tena,pili hao mabandindu
😂😂😂😂😂😂😂Naomba uwatoe wanaume wa Arusha!
Wana sura nzuri kunizidi.
Hata nyie sura ngumu halafu vifupiii!!Mtwara tutashika namba moja litapokuja suala kupenda mitulinga na kujua kunyenyekea.
naunga mkono hojaArusha itoe,wachumba tu hao,bangi ndio zinawapa confidence other wise ni nyoronyoro
Mmmh Arusha!!! Hapana hii nakataa.1.Mara
2.Arusha
3.Mwanza
4.Geita
5.Shinyanga
6.Mbeya
7.Rukwa
8.Katavi
9 Songwe
10.Iringa
Sura za kazi🤣🤣🤣Kanda ya ziwa kwa ujumla wao unaongezea na Wanyakyusa hapo 😊😊😊
Kina mwijaku na baba levo? Bff hauko serious 😹😹Waha unawaachaje sasa
Waha wamekomaa tuWaha unawaachaje sasa
ume wanaojinyonga kisa mapenzi? Vivyo vivyo kwa Arusha?1.Mara
2.Arusha
3.Mwanza
4.Geita
5.Shinyanga
6.Mbeya
7.Rukwa
8.Katavi
9 Songwe
10.Iringa
Ajue kutofautisha mkomao na ubandiduKina mwijaku na baba levo? Bff hauko serious 😹😹