Mikoa ipi inalipa kuweka nyumba ya kupangisha?

Ifanye dar kwa kuanzia kama sample. Ni biashara nzur yenye long term profit
 
Kiuhalisia ni mikoani, hio hadhi ya jiji wameilazimisha tu, Kuna jiji moja tu Tz, Dsm, Kwa Mbali Mwanza, FULLSTOP !!

Arusha - Demand ni kubwa sana, Kikwazo cha huku gharama za ujenzi kuanzia viwanja ni kubwa lakini soko ni la uhakika, Watalii wamechoka kukodi hoteli wanapenda Air Bnb na dola wanazo

Mbeya - mji unakuwa kwa spidi lakini makazi yamekuwa changamoto
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…