Mikoa Migumu Kutoboa Kimaisha

Mikoa Migumu Kutoboa Kimaisha

ChoiceVariable

JF-Expert Member
Joined
May 23, 2017
Posts
66,537
Reaction score
75,687
Kwa Mikoa hii ukienda kutafuta maisha basi tegemea kutoboka badala ya Kutoboa👇👇

1.Kilimanjaro
2.Shinyanga
3.Simiyu
4.Kagera
5.Singida
6.Kagera
7.Tabora
8.Dodoma
9.Lindi
10.Kigoma

My Take
Baadhi ya Mikoa Ina potential nzuri ni vile tuu haijafunguliwa kimiundombinu eg Lindi.
Lindi pakoje mkuu?
Mbona nasikia pananuka umasikini.
 
Kwa Mikoa hii ukienda kutafuta maisha basi tegemea kutoboka badala ya Kutoboa👇👇

1.Kilimanjaro
2.Shinyanga
3.Simiyu
4.Kagera
5.Singida
6.Kagera
7.Tabora
8.Dodoma
9.Lindi
10.Kigoma

My Take
Baadhi ya Mikoa Ina potential nzuri ni vile tuu haijafunguliwa kimiundombinu eg Lindi.
Nilikaa Moshi miaka miwili sikuwahi kuokota hata 100 chakavu😂😂😂
 
Lindi pakoje mkuu?
Mbona nasikia pananuka umasikini.
Kwenye umaskini Totoro ndipo kwenye fursa kubwa. Kuna wahindi fulani wanaita Kampuni yao Shinyanga imporium walianzia maisha Shinyanga, zamani huko, kufikia miaka ya 2000 walikuwa Dsm wakisafirisha spare za baiskeli toka nje na kuuza Tanzania nzima.
 
Usipotoboa ukiwa Kagera utakuwa mwehu
Fursa za uvuvi
Kilimo cha kahawa
Ufugaji
Tumepakana na nchi za Uganda, Burundi, Rwanda
Kilimo cha miwa, ndizi, maharage n.k
Usafirishaji
Madini ya bati, nikel, ardhi yetu Kagera ina rutuba
 
Shinyanga ukienda kahama unatoboa sema wana hela ila hawana plan nyingi za biashara we ukienda kuanzisha biashara kwa mtaji wa kawaida tegemea kuna matajiri watakuja kukuiga na kuiboresha kuliko yako ila haitazuia mzunguko wako
 
Back
Top Bottom