Mikoa Migumu Kutoboa Kimaisha

Ina manq maskini wote hawana akili?
Nilichokiandika Ni kipana kuliko ulivyofikiri.
Rudia Tena kusoma.. HaKuna neno Akili Kuna mbungi ( Hekima )......Hekima za namna gani ? Hapo jipambanue uone unapungukiwa Nini ? ... Na mwisho inaweza kufikia ulikowahi kutaja ( Akili ) endapo Miaka nenda Rudi utasumbuka na Jambo Moja ( Umezidiwa akili ).
#wazee wa Miji Mshana Jr
 
Nonsense and intangible! Unazungumzia personal characters za wahanga wa mfumo unaozalishwa umaskini. Swali ni kwamba ina mana maskini wote hawana hekima?
 
Kilimanjaro. Kuna mama mmoja mke wa rafiki yangu alifunguliwa saloon na mumewe. Kila mteja aliekuwa anakuja akigundua km mwenye saloon sio mchaga basi harudi tena hapo. Anasema mapato yalishuka mpaka akawa anapata 500 kwa siku.
Alimuambia mumewe siku ntakayoondoka moshi ndio siku ntakayokuwa na furaha sn.
KLM kumejaa ukabila ni ngumu sn kutoboa.
 
Sahihi mkuu, huyo jamaa hajatambua kwamba umaskini wake upo kichawani.
 
Mkuu umaskini wao haukuhusu mkoa flani kua maskini haimaanishi hakuna fursa hapo, kinachotakiwa wewe unatakiwa kuziona hizo fursa.
 
Usipotoboa ukiwa Kagera utakuwa mwehu
Fursa za uvuvi
Kilimo cha kahawa
Ufugaji
Tumepakana na nchi za Uganda, Burundi, Rwanda
Kilimo cha miwa, ndizi, maharage n.k
Usafirishaji
Madini ya bati, nikel, ardhi yetu Kagera ina rutuba
Nakuongezea. Mnpakana na mikoa kame kama shinyanga, mwanza nk hivyo ni fursa kuwauzia chakula.
Nashangaa na Kigoma kuwekwa hapa. Yaani mji wa mpakani unakosaje fursa ? Watanzania tuna udumavu wa kufikiri.
Kigoma ina ziwa, ina ardhi ya mawese, kahawa, maharahe, ndizi, miwa, mpunga, tangawizi, miti, tumbaku, parachichi, mihogo, hifadhi za wanyama, mbvua ya kutosha, mito mikubwa , swamps, mapori, ardhi kubwa nk.
Unakosaje pesa, hivi huu sio ukichaa ? Tunataka mkoa uwe na nini
 
TANZABNA YOTE INA FURSA. NDIO MAANA WAHINDI NA WARABU KILA MKOA WALIOENDA WAMETAJIRIKA. BABU ZETU HAWAKUWA WAJINGA KUSAMBAA MIKOA YOTE NA BARA LOTE LA AFRIKA. TUTUMIE FURSA KILA MKOA.
TFS WANATAFITI YAO YA MAZAO KWA KILA MKOA, HAKUNA MKOA WAMESEMA HAUNA FURSA.
 
Kilimanjaro ni mbaya zaidi kwa utafutaji.
Wachaga na Wapare mkoa wenu hovyo kabisa kwa utafutaji...yaani sufuri
Huku tayari Kuna koo za biashara within ku breakthrough mtu wa nje ni kazi Sanaa...na vita ni kubwa mno watakupoteza mapema sana
 
Huku tayari Kuna koo za biashara within ku breakthrough mtu wa nje ni kazi Sanaa...na vita ni kubwa mno watakupoteza mapema sana
Ukabila unawatesa wachaga that is why ni ngumu sana kumkuta msukuma anahamia uchagani
 
watu wamekariri mahindi ila ni karibia vitu vingi kupeleka kenya return ni kubwa kuliko kuuzia hapa bongo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…