Nedlloyd
JF-Expert Member
- Mar 29, 2014
- 10,361
- 27,215
Nilichokiandika Ni kipana kuliko ulivyofikiri.Ina manq maskini wote hawana akili?
Rudia Tena kusoma.. HaKuna neno Akili Kuna mbungi ( Hekima )......Hekima za namna gani ? Hapo jipambanue uone unapungukiwa Nini ? ... Na mwisho inaweza kufikia ulikowahi kutaja ( Akili ) endapo Miaka nenda Rudi utasumbuka na Jambo Moja ( Umezidiwa akili ).
#wazee wa Miji Mshana Jr