Huu ni mkoa?kahama,
Umefika Dar wewe huku ni kichanga tu na kidongo chekundu baadhi ya maeneo utakua umefika Dodoma tu ukalinganisha na mikoa mingineNimefanya research mikoa mingi tz ni jangwa
Umekopesha akili au hizi ni za kwako? Ubongo wako ume-hackiwa au ndio wenyewe?Mbeya, n'a Mara nadhan ndo mikoa isio na sehemu ya jangwa
We hujui hata maana ya jangwa. Halafu nafikiri hujui hata Tanga iko wapi kwenye ramani. Kwani lazima uandike km we ni bongolala,? We hujui chochote.Nimefanya research mikoa mingi Tz ni jangwa kama ukisafiri kwa kwa basi utakua Shahidi
Mikoa ambayo ni jangwa KONK ni Moshi/Kilimanjaro, Tanga, Pwani, Dodoma, Singida, Iringa, Tabora, Kahama, Mwanza, na Shinyanga.
Mbeya, na Mara nadhani ndo mikoa isio na sehemu ya jangwa.
😂😂Mpaka Sasa tuneshauza asilimia ngapi ya misitu yetu?53.5% Tz ni misitu, DRC ni 57.5%
Kenya 17.5%.
Umeikosea heshima Tz.
Rudi kafanye utafiti upya.Nimefanya research mikoa mingi Tz ni jangwa kama ukisafiri kwa kwa basi utakua Shahidi
Mikoa ambayo ni jangwa KONK ni Moshi/Kilimanjaro, Tanga, Pwani, Dodoma, Singida, Iringa, Tabora, Kahama, Mwanza, na Shinyanga.
Mbeya, na Mara nadhani ndo mikoa isio na sehemu ya jangwa.
Hapo sijui, ila niliona Nat Geo Wild wakitoa hizo takwimu.😂😂Mpaka Sasa tuneshauza asilimia ngapi ya misitu yetu?
Unajishushia credit kwa kuiita Kahama mkoa na pia kusema kuna jangwa Tanzania. Hatuna hiyo feature Tanzania. Jangwa ni hali ya hewa critical sana kwamba humo kuna sand dunes na uhaba wa mvua kwa interval ya makumi hadi mama ya miaka.Nimefanya research mikoa mingi Tz ni jangwa kama ukisafiri kwa kwa basi utakua Shahidi
Mikoa ambayo ni jangwa KONK ni Moshi/Kilimanjaro, Tanga, Pwani, Dodoma, Singida, Iringa, Tabora, Kahama, Mwanza, na Shinyanga.
Mbeya, na Mara nadhani ndo mikoa isio na sehemu ya jangwa.
Rudia Research yako alafu futa huu ujinga ulioandika.Nimefanya research mikoa mingi Tz ni jangwa kama ukisafiri kwa kwa basi utakua Shahidi
Mikoa ambayo ni jangwa KONK ni Moshi/Kilimanjaro, Tanga, Pwani, Dodoma, Singida, Iringa, Tabora, Kahama, Mwanza, na Shinyanga.
Mbeya, na Mara nadhani ndo mikoa isio na sehemu ya jangwa.
umeandika utumboNimefanya research mikoa mingi Tz ni jangwa kama ukisafiri kwa kwa basi utakua Shahidi
Mikoa ambayo ni jangwa KONK ni Moshi/Kilimanjaro, Tanga, Pwani, Dodoma, Singida, Iringa, Tabora, Kahama, Mwanza, na Shinyanga.
Mbeya, na Mara nadhani ndo mikoa isio na sehemu ya jangwa.
Ongeza elimu yako ndugu kuhusu uelewa wa mambo na uhalisia wake. Mimi naelewa kwanini bado watu wanaishabikia CCM, ni kutoelewa mambo!Nimefanya research mikoa mingi Tz ni jangwa kama ukisafiri kwa kwa basi utakua Shahidi
Mikoa ambayo ni jangwa KONK ni Moshi/Kilimanjaro, Tanga, Pwani, Dodoma, Singida, Iringa, Tabora, Kahama, Mwanza, na Shinyanga.
Mbeya, na Mara nadhani ndo mikoa isio na sehemu ya jangwa.
Tanga wapi kuna jangwa,huko mbeya kuna maeneo ni makame mfano mbarali hebu ifute Tanga hapoNimefanya research mikoa mingi Tz ni jangwa kama ukisafiri kwa kwa basi utakua Shahidi