Mikoa mingi Tanzania ni jangwa

Mikoa mingi Tanzania ni jangwa

Nimefanya research mikoa mingi Tz ni jangwa kama ukisafiri kwa kwa basi utakua Shahidi

Mikoa ambayo ni jangwa KONK ni Moshi/Kilimanjaro, Tanga, Pwani, Dodoma, Singida, Iringa, Tabora, Kahama, Mwanza, na Shinyanga.

Mbeya, na Mara nadhani ndo mikoa isio na sehemu ya jangwa.

Kama Pwani ni jangwa utamuachaje jirani yake Dar es salaam
 
Nimefanya research mikoa mingi Tz ni jangwa kama ukisafiri kwa kwa basi utakua Shahidi

Mikoa ambayo ni jangwa KONK ni Moshi/Kilimanjaro, Tanga, Pwani, Dodoma, Singida, Iringa, Tabora, Kahama, Mwanza, na Shinyanga.

Mbeya, na Mara nadhani ndo mikoa isio na sehemu ya jangwa.
Ulisafiri mwezi wa ngapi?
 
Hiyo research ulikuwa na specific objectives zipi, umetumia methodology na tools gani ? umetumia benchmark gani kuafikiana na methodology yako ? Sijui nimewaza nini ila nikisikia research nakumbuka kuna wakuda ndio walikuwa wakikukamia na haya maswali hauchomoki😁
 
Nimefanya research mikoa mingi Tz ni jangwa kama ukisafiri kwa kwa basi utakua Shahidi

Mikoa ambayo ni jangwa KONK ni Moshi/Kilimanjaro, Tanga, Pwani, Dodoma, Singida, Iringa, Tabora, Kahama, Mwanza, na Shinyanga.

Mbeya, na Mara nadhani ndo mikoa isio na sehemu ya jangwa.
...Research Yako Umefanyia Tanzania Kweli ? Au Umekaa TU Mezani ukaandika Utafiti wako ?? Tembea Ujionee !

Sent from my TECNO BD4j using JamiiForums mobile app
 
Nimefanya research mikoa mingi Tz ni jangwa kama ukisafiri kwa kwa basi utakua Shahidi

Mikoa ambayo ni jangwa KONK ni Moshi/Kilimanjaro, Tanga, Pwani, Dodoma, Singida, Iringa, Tabora, Kahama, Mwanza, na Shinyanga.

Mbeya, na Mara nadhani ndo mikoa isio na sehemu ya jangwa.
Utafiti wqko ulitakiwa uanze na definitions kama Jangwa ni nini?

Hapo ungeleta matokeo sahihi. Sijajua jangwa lipi uanzungumzia.
 
Wew member joined 25 oct mlikua hamjamaliza mitihani..? Hivi Iringa unaijua kweli..? Hivi kahama ni mkoa kweli..? Mods tunaomba huu ujinga utolewe aende akajifunze vizuri halafu arudi
 
N
Mikoa sio Jangwa mvua zinanyesha mpaka zinaleta madhara ni kwamba Watanzania hatupandi miti hatuna operation ya kupanda miti mfano watangaze kupanda Miti milioni mbili Nchi nzima kwa mwaka mmoja faida yake itaonekana miaka ya mbele na pia hali ya hewa itakuwa safi kwa mikoa mingi...
Ni kweli ukataji miti ni mara nyingi zaidi ya kasi ya upandaji katika nchi yetu. Mapori mengi yanaendelea kubaki wazi. Wenzetu wa environment conservation sijui wanalionaje hili.
 
Nimefanya research mikoa mingi Tz ni jangwa kama ukisafiri kwa kwa basi utakua Shahidi

Mikoa ambayo ni jangwa KONK ni Moshi/Kilimanjaro, Tanga, Pwani, Dodoma, Singida, Iringa, Tabora, Kahama, Mwanza, na Shinyanga.

Mbeya, na Mara nadhani ndo mikoa isio na sehemu ya jangwa.
....Mbeya na Mara NADHANI ndo mikoa isio na sehemu ya jangwa.... hivi umefanya Utafiti halafu unakuja na matokeo ya kudhania?! shida kweli.
Halafu MINGI siyo takwimu ..kwenye takwimu kunatakiwa namba
 
Wadau wengi wanamponda mtoa mada badala ya kumuelewa ingawa ame-over rate statement yake. Ki ukweli jiografia ya nchi yetu sio jangwa ila nilichooelewa ni uwepo wa kasi kubwa ya ukataji miti kwa matumizi ya ardhi,ujenzi,kilimo,nishati,ufugaji n.k yanayofanywa na binadamu. Kwa wale waliosafiri safari ndefu miaka ya nyuma ilikuwa ni rahisi kuona idadi kubwa ya miti na mapori pembezoni mwa barabara lakini kilichobaki Sasa hivi pembezoni ni uwanda mkubwa wa nyika (savannah) unaoruhusu kuona kilometa kadhaa mbele au pembeni
 
Nimefanya research mikoa mingi Tz ni jangwa kama ukisafiri kwa kwa basi utakua Shahidi

Mikoa ambayo ni jangwa KONK ni Moshi/Kilimanjaro, Tanga, Pwani, Dodoma, Singida, Iringa, Tabora, Kahama, Mwanza, na Shinyanga.

Mbeya, na Mara nadhani ndo mikoa isio na sehemu ya jangwa.
Njombe,Songwe,Katavi,Kigoma,Ruvuma sio jangwa

Sent from my V1901A using JamiiForums mobile app
 
N

Ni kweli ukataji miti ni mara nyingi zaidi ya kasi ya upandaji katika nchi yetu. Mapori mengi yanaendelea kubaki wazi. Wenzetu wa environment conservation sijui wanalionaje hili.
Hakuna wanachofanya maana hawajui madhara ya kukata miti bila kupanda miti na sidhani kama upo mfuko wa kupanda miti kila Mkoa...wanachojua ni kununua Viete ya DED basi...
 
Back
Top Bottom