Mtaalamuwenu
Member
- Jan 3, 2016
- 61
- 50
Hao Songwe nasikia wanaitwa lango kuu la SADC kumbe maneno tu?😁Geita wapo mbali sn
Akina Lucas Mwashambwa wale ni masikini kupita kiasiHao Songwe nasikia wanaitwa lango kuu la SADC kumbe maneno tu?😁
Simiyu vipi mkuu?1. Geita (kuna chimbo linaitwa Katola)
2. Manyara (Babati ndio kila kitu)
3. Songwe.
HahahaNilijua Samia kaanzisha mkoa mpya "Mkoa wa Samia"
KATORO na sio KATOLA.1. Geita (kuna chimbo linaitwa Katola)
2. Manyara (Babati ndio kila kitu)
3. Songwe.
Mipya unamaanisha nini, hayo maeneo yalishakuwepo yamegawanywa tu kiutawala. Manyara ina upya gani wakati ni umri wa GenZWataalamu wa kuijua nchi yetu ya Tanzania ni mkoa mpya upi kati ya ifuatayo ambao uko vizuri kimaendeleo au kiuchumi?
1. Simiyu
2. Geita
3. Songwe
4. Manyara
5. Katavi
Ongezea na NjombeWataalamu wa kuijua nchi yetu ya Tanzania ni mkoa mpya upi kati ya ifuatayo ambao uko vizuri kimaendeleo au kiuchumi?
1. Simiyu
2. Geita
3. Songwe
4. Manyara
5. Katavi
NjombeWataalamu wa kuijua nchi yetu ya Tanzania ni mkoa mpya upi kati ya ifuatayo ambao uko vizuri kimaendeleo au kiuchumi?
1. Simiyu
2. Geita
3. Songwe
4. Manyara
5. Katavi
kumbe netapussy na ww unajua kwa kina Lucas huko songweAkina Lucas Mwashambwa wale ni masikini kupita kiasi
kashasema sio kipaumbele chake, mikoa mipya na wilaya mpya ni labda akija Rais mwengineNilijua Samia kaanzisha mkoa mpya "Mkoa wa Samia"
Hahaha Simiyu na fisi ni damudamuManyara itoe maana ni agemate na mishangazi ya humu.
GenZee ni Geita, Njombe, Simiyu, Songwe na Katavi.
Kwa utajiri ama uchumi kuna Geita, Njombe, Songwe.
Hata kibiashara na uwekezaji wako njema.
Kilimo ni Katavi, Njombe, Geita na Songwe.
Ufugaji wa fisi ni Simiyu. kwa upande wa viwanda simiyu wanaweza fika mbali kama wataenda na kasi ya sasa.
Njombe yes niliisahau kidogoNjombe