Mikoa Tajiri Tanzania kwa mujibu wa BOT

NEW NOEL

JF-Expert Member
Joined
May 21, 2011
Posts
863
Reaction score
408
Kwa mujibu wa ripoti ya Benki kuu ya Tanzania(BOT),Dsm ndio mkoa unaoongoza kwa kuchangia pato la taifa.

1. Dar-es-salaam(GDP-7.5 trilion)
2. Mwanza(GDP-4.09 trilion)
3. Mbeya(GDP-3.2 trilion)
4. Shinyanga
5. Iringa
6. Morogoro
7. Arusha(GDP-2.1 triliom)
8. Tanga(GDP-2.09 trillion)
9. Kilimanjaro(GDP-2.03 trillion)
http://www.thecitizen.co.tz/News/Re...ons/-/1840392/2016862/-/148ql1lz/-/index.html

Cha kushangaza ni kuwa mkoa wa Lindi ambao umezungukwa na gesi yenye ujazo wa mabilioni ndio mkoa wa pili kwa umaskini baada ya mkoa wa Pwani.
Lakini swali ni je,kwanini arusha haipo hata katika top 3 ya mikoa tajiri yenye kuchangia pato la taifa? Inaonekana makampuni mengi ya utalii yanamilikiwa na wageni au mengi yanatokea katika mkoa wa Dsm.
 
yaani arusha wamezidiwa na morogoro, shinyanga na iringa?
kumbe hawa jamaa ni kelele mingimingi tu.
 

Naomba link
 
Arusha makampuni yote ni ya mafisadi hawalipi kodi. Kuna matajiri wakubwa sana arusha lakini hakuna maana. Kwa sababu wote ni mafisadi

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 
Ni mapema mno kutathmini mchango wa gesi ya Lindi kwa uchumi wa mkoa. Subiri exploration ianze ndio utathmini. Haitachukua muda. Gesi si mchezo.
 
....wachagga mmeshika mkia kwa uzalishaji?
 
Hawa wachumi watueleze vizuri k.m Iringa ni ile yenye njombe na iringa au iringa ya bila njombe? kama GDP ni goods and services at a particular region, inakuwaje services na goods za arusha ziwe below za iringa? just consider banking, tourism(travel, hotels et.c), construction, mining et.c. kwani ownership ya firms zitoazo hizo goods and services ina matter? if that is the case, shinyanga na mwanza ambako mining may be the main contributor, firms ziko based wapi? or how is the data generated? unless this has something to do with old arusha which had manyara and the new arusha. For people in the know, just gives us the general formula for calculating or collecting data for computation of the GDP both regional and national.
 
wachaga wana zalisha lakini pesa yao wana tunza wenyewe hawa wapi serikali wawashikie ili hata na wao wakiumwa waende india kwa matibabu sio waende viongozi peke yao nyie endelezeni ubwege wa kuwapa watu pesa wawa shikia halafu nyie mkiumwa mnaenda ktk hospitali ambazo ukimuambia dokt unaumwa hufanyiwi vipimo una ulizwa unajisikiaje then watu wanakadiria na kukupa dawa wenzenu wajanja
 
Mby oyee kama si ufisadi wangekuwa no.2
 
Matajiri wa Arusha wakifa ndo wanajulikana kama mabilionea!
 
Kweli hii ndio tanzania,,,,,mikoa yote iliyoshika nafasi za mwisho wakati inavigezo vya kuongoza,,,,iingizwe kwenye big result now,,,hii ni aibu sana kwa arusha,,,,kwasababu inaongoza kwa vituo vya utalii kibao,,,,,,big result now inaitajika pia katika mikoa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…