bornagain
JF-Expert Member
- Jan 25, 2012
- 3,383
- 1,357
Kwa mujibu wa ripoti ya Benki kuu ya Tanzania(BOT),Dsm ndio mkoa unaoongoza kwa kuchangia pato la taifa.
1. Dar-es-salaam(GDP-7.5 trilion)
2. Mwanza(GDP-4.09 trilion)
3. Mbeya(GDP-3.2 trilion)
4. Shinyanga
5. Iringa
6. Morogoro
7. Arusha(GDP-2.1 triliom)
8. Tanga(GDP-2.09 trillion)
9. Kilimanjaro(GDP-2.03 trillion)
Dar tops wealth list, Arusha 7th despite tourist charm - National - thecitizen.co.tz
Cha kushangaza ni kuwa mkoa wa Lindi ambao umezungukwa na gesi yenye ujazo wa mabilioni ndio mkoa wa pili kwa umaskini baada ya mkoa wa Pwani.
Lakini swali ni je,kwanini arusha haipo hata katika top 3 ya mikoa tajiri yenye kuchangia pato la taifa? Inaonekana makampuni mengi ya utalii yanamilikiwa na wageni au mengi yanatokea katika mkoa wa Dsm.
Hizi takwimu labda ni za mwaka 1980's hapo sawa, lakini kama ni za hivi karibuni mimi kwa upande wangu naona mkoa wa Mara unatakiwa kuwa ndani ya tano bora na kama utataka vigezo ntakupatia vipo vingi tu