mkoa wa morogoro uko juu sana kwenye kilimo watu wengi wanaudharau cjui kwa nn? tz uongozi wetu tu umekuwa mbovu lakn tungeamua kukomaa kwenye kilimo peke yake tungekimbiza majiran zetu hasa kenya hadi ulimi uwatoke. nchi ya ethiopia uchumi wake unakua kwa % kubwa kuliko china kwa sasa kutokana na kilimo. zaidi ya 80% ya uchumi wake unategemea kilimo. after all GDP ni total ya goods and service zinazokuwa produced na eneo husika kwa muda fulani. wengi humu tumeangalia goods tu tukasahau services kama maji nk. kwa hiyo nakubaliana na moro kuizidi arusha hasa baada ya ule mkoa kugawanywa na simanjiro (mererani) iko mkoa wa manyara