Ndachuwa
JF-Expert Member
- Mar 8, 2006
- 6,269
- 4,579
Wachumi njooni hapa tujue kwanini taarifa za makusanyo ya kodi ziko tofauti kabisa na mchango wa mikoa husika katika pato la taifa ......
Takwimu za BoT labda walichukua kwenye magulio MTAZAMO kwa takwimu za TRA Arusha ni mkoa wa pili kutaifa kwa kuchangia kuendesha serikali ya nchi kwa maana ya kodi mbalimbali. Lakini bado kuna taasisi kama Ngorongoro mafaili yao yako Large Tax Payers DSM, hivyo takwimu za Ilala si za Dar es Salaam peke yake
Last edited by a moderator: