Mikoa ya Arusha na Manyara inaongoza kwa Ukeketaji Tanzania

BARD AI

JF-Expert Member
Joined
Jul 24, 2018
Posts
3,591
Reaction score
8,826
Mikoa ya Arusha na Manyara imetajwa kuwa na Kiwango kikubwa cha Ukeketaji nchini Tanzania ikiwa na Wastani wa 43% ya Vitendo hivyo ikifuatiwa na Mikoa ya Mara 28%, Singida 20% na Tanga 19%

Mikoa mingine Dodoma (18%), Iringa (12%), Morogoro (10%), Kilimanjaro (9%), Njombe (7%) Pwani (5%) na Mbeya (3%). Mikoa inayosalia kiwango kiko chini ya 1%

Kwa mujibu wa Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum, Serikali inaendelea na utekelezaji wa Mkakati wa kupunguza Vitendo vya Ukeketaji hadi 5% ifikapo mwaka 2025

Pia Soma Mkutano wa kimataifa wa kutokomeza ukeketaji 09- 11 Okt, 2023 Dar, JNICC
 
Wamasai, Wamang'ati na Wambulu wanapenda sana kuondoa utamu
 
Kina Ole Sendeka, wapuuzi, halafu anajifanya mjaanja wakujiteka mwenyewe...
 
Ndio maana Manyara na Arusha kuna maambukizo kidogo sana ya ukimwi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…