Mikoa ya Kanda ya Ziwa na Kigoma inarudisha nyuma uchumi wa nchi kwa watu wake kuzaa bila mpangilio

mdukuzi

JF-Expert Member
Joined
Jan 4, 2014
Posts
20,925
Reaction score
51,688
Kwa maisha ya dunia ya sasa ukizaa watoto watano au sita kuna ubaya gani??

Sasa kuna jamii bado zinazaa watoto 12 kama wana wa Israel.

Tuambiane ukweli,ardhi zimeshachoka na uwezo wa kukea hao watoto ni changanoto,hii inapelejea uharibifu wa nazingira na jukosekana wataalan wa afya,walimu wa kutosha kuwahudumia watoto.

Uharibifu wa mazingira ji mkubwa sana Katavi,Kigoma,Tabora,Geita,Simiyu,

Hakuna tuzo mtakayopewa kwa kuzaa sana.

Unakuta mama anakwenda clinicba watoto watatu wote waba chini ya miaka mitano.

Siku ya clinic kwa kitongoji husika hakuna mwanamje anayebaji ndabi,wote waba watoto wadogo.

Siku ya ubatizo au kipaimara janisa linajaa watoto moaka wabakosa viti.

Siku ya kufanya mitihani madawati yote yanamalizwa na watahiniwa.

Huku ni kama kuhujumu uchumi

NB,zingatia naneno haya growth rate na birthrate na mortality rate

Kigoma wana Growth rate ndogo kitakwimu ila birthrate yao si haba,vijana wanaukimbia sana huu mkoa na ni watanzania wachache sana wanahania Kigoma kutafuta naisha
 
Kwa maisha ya dunia ya sasa ukizaa watoto watano au sita kuna ubaya gani??

Sasa kuna jamii bado zinazaa watoto 12 kama wana wa Israel.

Tuambiane ukweli,ardhi zimeshachoka na uwezo wa kukea hao watoto ni changanoto,hii inapelejea uharibifu wa nazingira na jukosekana wataalan wa afya,walimu wa kutosha kuwahudumia watoto.

Uharibifu wa mazingira ji mkubwa sana Katavi,Kigoma,Tabora,Geita,Simiyu,

Hakuna tuzo mtakayopewa kwa kuzaa sana.

Unakuta mama anakwenda clinicba watoto watatu wote waba chini ya miaka mitano.

Siku ya clinic kwa kitongoji husika hakuna mwanamje anayebaji ndabi,wote waba watoto wadogo.

Siku ya ubatizo au kipaimara janisa linajaa watoto moaka wabakosa viti.

Siku ya kufanya mitihani madawati yote yanamalizwa na watahiniwa.

Huku ni kama kuhujumu uchumi

Kwanza kabisa, suala la kuzaa ni la haki za binadamu, kila mtu ana uhuru wa kuzaa anavyotaka.

Lakini, kwa kuwa umeleta hii hoja, mimi pia nafikiri Tanzania tuna tatizo la kuzaa sana.

Nchi nzima, si kanda fulani tu.

Hata watoto watano au sita ni wengi sana.
 
Kigoma unayoitaja haipo kwenye Mikoa ambayo watu wanazaana sana tena Iko chini ya Wastani wa kitaifa,labda una chuki binafsi 👇👇
Screenshot_20231031-061536_1.jpg
 
Kwanza kabisa, suala la kuzaa ni la haki za binadamu, kila mtu ana uhuru wa kuzaa anavyotaka.

Lakini, kwa kuwa umeleta hii hoja, mimi pia nafikiri Tanzania tuna tatizo la kuzaa sana.

Nchi nzima, si kanda fulani tu.

Hata watoto watano au sita ni wengi sana.
Ni kweli,inahitajika elimu kwa wananchi,ila kuna mikoa ina nafuu mingine imezidi
 
Serikali iache visingizio badala yake ipeleke miradi ya maendeleo kwa usawa nchi nzima na si kila kitu Dar, Dom, na Kazamkazi.

Mtoa mada naomba utupe mkoa wenye population ndogo kuliko Dar na wenye Regional GPD ama pato la mtu mmoja mmoja kuizidi Dar ili tupime uhalisia wa kisingizio chako kuwa sababu ya umasikini ni kuzaliana ama population kubwa.
 
Kwa maisha ya dunia ya sasa ukizaa watoto watano au sita kuna ubaya gani??

Sasa kuna jamii bado zinazaa watoto 12 kama wana wa Israel.

Tuambiane ukweli,ardhi zimeshachoka na uwezo wa kukea hao watoto ni changanoto,hii inapelejea uharibifu wa nazingira na jukosekana wataalan wa afya,walimu wa kutosha kuwahudumia watoto.

Uharibifu wa mazingira ji mkubwa sana Katavi,Kigoma,Tabora,Geita,Simiyu,

Hakuna tuzo mtakayopewa kwa kuzaa sana.

Unakuta mama anakwenda clinicba watoto watatu wote waba chini ya miaka mitano.

Siku ya clinic kwa kitongoji husika hakuna mwanamje anayebaji ndabi,wote waba watoto wadogo.

Siku ya ubatizo au kipaimara janisa linajaa watoto moaka wabakosa viti.

Siku ya kufanya mitihani madawati yote yanamalizwa na watahiniwa.

Huku ni kama kuhujumu uchumi
Usiwasingizie wote.Wewe sema wasukuma tu utaeleweka.
 
Kwanza kabisa, suala la kuzaa ni la haki za binadamu, kila mtu ana uhuru wa kuzaa anavyotaka.

Lakini, kwa kuwa umeleta hii hoja, mimi pia nafikiri Tanzania tuna tatizo la kuzaa sana.

Nchi nzima, si kanda fulani tu.

Hata watoto watano au sita ni wengi sana.
Kwa kuanzia tuanze na tano au sita tutoke kwenye 12.

Wachaga tangu zamani si wengi wanaozidisha 5-6 mwisho na wengi wao ni 3- 4.

Ustawi wak kifamilia ni mzuri sana ukilinganisha maeneo mengine
 
Naam,

Post #4 umewekewa data kwamba Kigoma haipo katika mikoa yenye uzazi wa juu kama ulivyodai.

Unasemaje hapo?
Hiyo ni growth rate SIo birth ratekuna mikoa ni ngumu sana mtu kwenda kutafuta maish Kigoma ikiwemo,Wanakigoma wanaongoza kuuukimbia mkoa wao,wamejazana DarE Es Salaan ,na Geita kutafuta maisha,ila wanapenda sana familia kubwa,Kigoma ni kana Somalia ta Tanzania,watu wanaikimbia kila siku
 
Kigoma unayoitaja haipo kwenye Mikoa ambayo watu wanazaana sana tena Iko chini ya Wastani wa kitaifa,labda una chuki binafsi 👇👇View attachment 3065256
Nadhani hoja yake ipo kwenye birth rate.

Hii list uliyoileta imenishangaza kuona mikoa kama Dar es salaam, Kilimanjaro inayotajwa kama ni mikoa yenye mwamko kielimu, kimaendeleo na katika vitu vingi zikiwemo huduma za afya na elimu ndiyo ipo nafasi za mwisho kwenye growth rate
 
Back
Top Bottom