Roving Journalist
JF Roving Journalist
- Apr 18, 2017
- 3,984
- 13,760
Kiwango cha Matumizi ya Njia za Uzazi wa Mpango nchini hadi kufikia Machi 2024
Vipandikizi - 38.3%
Sindano - 23.1%
Vidonge - 11.3%
Njia za Asili - 11.1%
Kondomu - 10.4%
Vitanzi - 4.6%
Kufunga Kizazi - 0.4%
Mikoa yenye Kiwango Kikubwa cha Matumizi ya Njia za Uzazi wa Mpango Tanzania
Mara - 38.1%
Kigoma - 37.0%
Kilimanjaro - 34.4%
Katavi - 32.5%
Geita - 32.4%
Mikoa yenye Kiwango cha Chini cha Matumizi ya Njia za Uzazi wa Mpango Tanzania
Mbeya - 28.7%
Kagera - 24.5%
Mtwara - 23.9%
Songwe - 23.6%
Lindi - 22.3%
AFYA: Kwa mujibu wa Wizara ya Afya Tanzania, kati ya Julai 2023 hadi Machi 2024 jumla ya Watumiaji wa Njia za Kisasa za Uzazi wa Mpango walikuwa 6,702,212 (58.75%) ya Wanawake wote walio katika Umri wa kupata Ujauzito.