Mikoa ya Mwanza, Iringa, Dodoma, Morogoro na Songea ni babu kubwa na balaa kwa madanguro

Pang Fung Mi

JF-Expert Member
Joined
Nov 10, 2022
Posts
6,653
Reaction score
13,919
Shalom,

Oalaakalooo 🤣🤣🤣🤣🤣
Walimwengu walisema tembea uone, kuoa uyaone na mtembea bure si mkaa bure, mgagaa na upwa hali wali mkavu, mguu wako ndio riziki yako.

Kama kawaida Mungu anabariki sana njia zetu tunatembea na kuifahamu nchi yetu ya Tanzania hasa nyumbani Tanganyika.

Katika tembea tembea yangu ya hapa na pale kwenye mikoa ya Tanzania (Tuachane na Makonki yaaani DSM na Arusha). Kuna Mikoa ina madanguro sana.

Habari ya Mwanza, Dodoma, Iringa, Morogoro, Ruvuma ni noma kubwa. Kuna namna shetani ana Kambi zake za kimapenzi ziko imara sana kwenye hii mikoa.

Tembea uone na ndio utajua bado huna uzoefu na huna unachokijua. Tuendelee kuliombea Taifa letu Mungu yupo na Tanganyika itarudi ipo siku.

Mapenzi sio shuruti, mapenzi ni maisha, mapenzi ni hisia, mapenzi ni riziki pamoja na uharamu kwa misingi ya uasherati na uzinzi. Kataa kuoa na kataa ndoa inaenda sambamba na kujua mambo mengi ya kidunia yahusuyo wanajamii.

Shukrani 🙏

Wadiz
 
Shalom,

Oalaakalooo 🤣🤣🤣🤣🤣
Walimwengu walisema tembea uone, kuoa uyaone na mtembea bure si mkaa bure, mgagaa na upwa hali wali mkavu, mguu wako ndio riziki yako.

Kama kawaida Mungu anabariki sana njia zetu tunatembea na kuifahamu nchi yetu ya Tanzania hasa nyumbani Tanganyika.

Katika tembea tembea yangu ya hapa na pale kwenye mikoa ya Tanzania (Tuachane na Makonki yaaani DSM na Arusha).

Kuna Mikoa upcoming na Ina potential na imekuwa na vibe kubwa sana la Madanguro yaani ni noma sana.

Habari ya Mwanza, Dodoma, Iringa, Morogoro, Ruvuma ni noma kubwa. Kuna namna shetani ana Kambi zake za kimapenzi ziko imara sana kwenye hii mikoa.

Tembea uone na ndio utajua bado huna uzoefu na huna unachokijua.

Tuendelee kuliombea Taifa letu Mungu yupo na Tanganyika itarudi ipo siku.

Mapenzi sio shuruti, mapenzi ni maisha, mapenzi ni hisia, mapenzi ni riziki pamoja na uharamu kwa misingi ya uasherati na uzinzi.

Kataa kuoa na kataa ndoa inaenda sambamba na kujua mambo mengi ya kidunia yahusuyo wanajamii.

Shukrani 🙏

Wadiz
Taja kabisa hizo location...ili tusipite hiyo njia kabisa..Anza na Morogoro na Mwanza 😀 😀 😀
 
Ukahaba ndio biashara kongwe ya miaka mingi duniani mkuu, relax....😊
 
Shalom,

Oalaakalooo 🤣🤣🤣🤣🤣
Walimwengu walisema tembea uone, kuoa uyaone na mtembea bure si mkaa bure, mgagaa na upwa hali wali mkavu, mguu wako ndio riziki yako.

Kama kawaida Mungu anabariki sana njia zetu tunatembea na kuifahamu nchi yetu ya Tanzania hasa nyumbani Tanganyika.

Katika tembea tembea yangu ya hapa na pale kwenye mikoa ya Tanzania (Tuachane na Makonki yaaani DSM na Arusha).

Kuna Mikoa upcoming na Ina potential na imekuwa na vibe kubwa sana la Madanguro yaani ni noma sana.

Habari ya Mwanza, Dodoma, Iringa, Morogoro, Ruvuma ni noma kubwa. Kuna namna shetani ana Kambi zake za kimapenzi ziko imara sana kwenye hii mikoa.

Tembea uone na ndio utajua bado huna uzoefu na huna unachokijua.

Tuendelee kuliombea Taifa letu Mungu yupo na Tanganyika itarudi ipo siku.

Mapenzi sio shuruti, mapenzi ni maisha, mapenzi ni hisia, mapenzi ni riziki pamoja na uharamu kwa misingi ya uasherati na uzinzi.

Kataa kuoa na kataa ndoa inaenda sambamba na kujua mambo mengi ya kidunia yahusuyo wanajamii.

Shukrani 🙏

Wadiz
wapeni kazi muone
 
Habari ya Mwanza, Dodoma, Iringa, Morogoro, Ruvuma ni noma kubwa. Kuna namna shetani ana Kambi zake za kimapenzi ziko imara sana kwenye hii mikoa.
Tulia na Mungu, usiendelee kuchungulia huko, utatekwa
 
Back
Top Bottom