Africa hatuendelei kwa kubaki na imani za kidhania.
Ili tupige hatua tunahitaji Physical sio mambo ya kiiman imani tu.
Hivyo vitisho viko sana. Eti hoo hujakutana nayo sijui omba yasikukute ila narudia tena CHUMA ULETE NI KWAAJILI YA WATU WENYE UPEO MDOGO.
Zingekuwepo tusingehangaika na haya maisha katika utafutaji, watu wengi wangegeukia upande huo.
Chaajabu wenye kuziongelea hizo mada ni watu waisha ya kawaida na ya chini sana.
Ukiona mtu anasema kapatwa ma chuma ulete mshauri atumie hela zake vizuri na alinde wadokozi aliokuwa nao ndani