Mikoa ya Ukanda wa Pwani kwa chumaulete hawajambo!

Mikoa ya Ukanda wa Pwani kwa chumaulete hawajambo!

Africa hatuendelei kwa kubaki na imani za kidhania.
Ili tupige hatua tunahitaji Physical sio mambo ya kiiman imani tu.
Hivyo vitisho viko sana. Eti hoo hujakutana nayo sijui omba yasikukute ila narudia tena CHUMA ULETE NI KWAAJILI YA WATU WENYE UPEO MDOGO.

Zingekuwepo tusingehangaika na haya maisha katika utafutaji, watu wengi wangegeukia upande huo.

Chaajabu wenye kuziongelea hizo mada ni watu waisha ya kawaida na ya chini sana.

Ukiona mtu anasema kapatwa ma chuma ulete mshauri atumie hela zake vizuri na alinde wadokozi aliokuwa nao ndani

Tunahitaji kupata watu kama wewe mkuu taifa lisonge.
 
Si afadhal huko wanachukua pesa


Nilienda kulima mpunga


wakat mpunga umenoga nauvutia kasi nivune likawa linakuja lundo la ndege


Ktk eneo lile kuna mashamba mengi lkn ndege wote wakawa wanatua shamban kwangu


Ktk hekar tano Mzee mzima nikaambulia gunia 2 za mpunga tu
Siku nyingine ukiwekeza pesa usione hasara kutafuta mtaalamu wa kukutengenezea shamba lako njoo huku Tandahimba
 
Back
Top Bottom