Mikoa yenye kiwango kikubwa au kidogo zaidi cha kipato kwa mtu mmoja mmoja

Hayo mapato yanagawiwa kiundishi ila kihalisia watu wanafia midomo!..😅
 
wahaya njooni hapa na ushaidi View attachment 2779997 hivi ni kweli hii namba ni sahihi kwa mkoa wanu
Kila mtu anashadadia mkoa wa kagera kuwa watu wake wako na kipato kidogo hiyo nikweli sababu mkoa huo wananchi wake hawana mazao ya biashara hawana aridhi ya kilimo kipande cha aridhi robo ekali kuna baadhi ya vijiji bila m tano ujanunua bado

Mikoa ilio chamgamka kilimo ndio mambo yote mfano marogoro mbeya njombe sumbawanga ruvuma nk
 
Hesabu za makaratasi hizi, nimekaa singida wapo watu wanaishi na kula vizuri tu.
Hapa singida watu walio wengi wanaishi maisha ya dhiki sababu hawana kilimo cha biashara tofaoti na vitunguu na [emoji258] tena wachache tu ndio wanao lima wengi wao aridhi yao imechoka mfano manyoni puma nk
 
Sikatai.
 
Kagera ardhi IPO tele hata laki mbili unapata,usifikir Kagera yote Kuna migomba
Ni uvivu tu WA watu wao,mbona Kilimanjaro ina ardhi finyu lakini Tangu uhuru haikosekani top three ya mikoa yenye kipato kikubwa?
 
Kanda ya kaskazini hongera naona mikoa yote ya kanda hii ipo kwenye top 10!

Singida wakiwa wa mwisho pengine ni ukame ila inashangaza kwa Kagera yenye ardhi keki na kubwa na mvua tele, sijui shida ya hawa jamaa ipo wapi? instanbul Mhaya Mhaya wa mjini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…