Mikoa yenye kiwango kikubwa au kidogo zaidi cha kipato kwa mtu mmoja mmoja

Mikoa yenye kiwango kikubwa au kidogo zaidi cha kipato kwa mtu mmoja mmoja

Kanda ya kaskazini hongera naona mikoa yote ya kanda hii ipo kwenye top 10!

Singida wakiwa wa mwisho pengine ni ukame ila inashangaza kwa Kagera yenye ardhi keki na kubwa na mvua tele, sijui shida ya hawa jamaa ipo wapi? instanbul Mhaya Mhaya wa mjini
Ni uvivu tu,Kagera ina ardhi kbwá na yenye rutuba lakini wanakuwa maskini
Watukodishie huo mkoa wao japo kwa miaka 5 tu waone maajabu[emoji1][emoji1]
 
Bado umaskini ni changamoto sana
 
Back
Top Bottom