Mikoa yenye kiwango kikubwa au kidogo zaidi cha kipato kwa mtu mmoja mmoja

Ni uvivu tu,Kagera ina ardhi kbwá na yenye rutuba lakini wanakuwa maskini
Watukodishie huo mkoa wao japo kwa miaka 5 tu waone maajabu[emoji1][emoji1]
 
Tofauti IPO kubwa,kaskazn mikoa yote IPO top ten ya mikoa yenye kipato
Achan na kipato bro hali ya maisha nchi hii yote inafanana unafkiri hatutembei mkuu !! Na kuna watu Kanda ya Ziwa wana maisha ambayo mtu wa huko Kaskazin hata yaishi mpaka anakufa
 
Bado umaskini ni changamoto sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…