Mikoba ya Kina dada ina Mambo!

Mikoba ya Kina dada ina Mambo!

Mimi naona ni bora kachungulia humo kwa sababu sasa angalau atakuwa na idea huyo mkewe ni mtu wa aina gani. Jamaa hajakosea hata kidogo.

unatakiwa umjue mkeo kabla hujaoa,kuvikuta hivyo vitu haimaanishi infidelity imetake place.....labda amepewa amshikie mtu unajuaje???LOL:redfaces:
 
Kwa nini umshikie mtu vitu ambavyo vina potential ya kuleta mtafaruku? Hakuna busara wala common sense hapo.

Ila nakubaliana na wewe....kabla hujaoa au kuolewa ni vyema umjue vizuri mwenza wako. Lakini kuna wengine huficha vizuri rangi zao na kuna wengine hubadilika kabisa.

Mwisho wa siku ndoa ni bahati nasibu tu......
 
what the hell are u looking for in your wife's purse/handbag????? presha za bure tu!
 
Kama mke anakuonyesha pussy yake basi sidhani kama kuna sababu yoyote ya msingi usiangalie kwenye purse yake.....lol...purse na pussy vina rhyme kumbe......
 
Vp kama huyo dada amenunulia rafiki yake mwenye matatizo? huyo dada anafanya kazi gani kama ni angaza au NGO zinazohusika na ukimwi je? Kama mwanamke ailikuwa ana nia ya ku cheat au ana cheat angetupa pochi hapo sebuleni? kwanza wanawake wengi hawatembeagi na condom na vitu kama hivyo hata kama ana cheat kiasi gani. Akifikia hio stage anakuwa ni changu bin kicheche wa changudoa wa ukoo wa Makahaba.
 
Bottomline hakuna binadamu aliye mwaminifu kwa asilimia 100.

Ndio maana ni bora kumega kila mara upatapo fursa ya kufanya hivyo la sivyo utakuja kuumia vibaya sana siku moja. Naamini kabisa kumega nje ni mitigating factor siku utakapogundua kuwa unamegewa.....lol
 
Kwa nini umshikie mtu vitu ambavyo vina potential ya kuleta mtafaruku? Hakuna busara wala common sense hapo.

Ila nakubaliana na wewe....kabla hujaoa au kuolewa ni vyema umjue vizuri mwenza wako. Lakini kuna wengine huficha vizuri rangi zao na kuna wengine hubadilika kabisa.

Mwisho wa siku ndoa ni bahati nasibu tu......

mtu anayecheat...atajitahidi,kucover up matendo yake hataacha evidence kihasara namna hio....

hiyo nyumba yao ina matatizo, i think bibi labda anajaribu kutuma ujumbe...labda amesikia mumewe ana nyumba ndogo mahali...LOL
 
Siyo mara zote. Kuna mahali inafika mtu unakuwa negligent sana......kumbuka za mwizi arobaini.

Utakuwa mwangalifu mara za mwanzo lakini ukishafanya sana ipo siku utajisahau na kuacha tracks....

Umeshajiuliza watu huwa wanakamatwaje?
 
Mume ana haki na mkoba wa mkewe .
Mwanamme aulize apewe jibu la wazi vitu hivyo ni vinafanyaje mkobani humo
 
Vp kama huyo dada amenunulia rafiki yake mwenye matatizo? huyo dada anafanya kazi gani kama ni angaza au NGO zinazohusika na ukimwi je? Kama mwanamke ailikuwa ana nia ya ku cheat au ana cheat angetupa pochi hapo sebuleni? kwanza wanawake wengi hawatembeagi na condom na vitu kama hivyo hata kama ana cheat kiasi gani. Akifikia hio stage anakuwa ni changu bin kicheche wa changudoa wa ukoo wa Makahaba.

Babu unaishi wapi hebu fatilia Victoria Beckham aliishasahau mkoba kwenye Taxi! Jamaa kupekuwa wakakuta condoms, aliulizwa Beckham kama wanatumia condoms na mkewe akakataa!
 
bottomline hakuna binadamu aliye mwaminifu kwa asilimia 100.

Ndio maana ni bora kumega kila mara upatapo fursa ya kufanya hivyo la sivyo utakuja kuumia vibaya sana siku moja. Naamini kabisa kumega nje ni mitigating factor siku utakapogundua kuwa unamegewa.....lol

usi generalize,tupo ambao ni waaminifu mwaya tena kwa zaidi ya asilimia mia moja.
 
Babu unaishi wapi hebu fatilia Victoria Beckham aliishasahau mkoba kwenye Taxi! Jamaa kupekuwa wakakuta condoms, aliulizwa Beckham kama wanatumia condoms na mkewe akakataa!

Hivi King Mswati, Jacob Zuma, na Robert Mugabe walimegewaje wake zao? Huyo wa Zuma hadi akapata na kibendi.....
 
Babu unaishi wapi hebu fatilia Victoria Beckham aliishasahau mkoba kwenye Taxi! Jamaa kupekuwa wakakuta condoms, aliulizwa Beckham kama wanatumia condoms na mkewe akakataa![/QUOTE

Toa mifano kwenye mazingira yetu hayo ya ma super star ni ya kupikwa wauze gazeti au skendolization. Sitetei vipo hivi vitu ila kutokana na story yako huyo jamaa atakuwa zoba kama ni kweli kwa kutokugundua siku zote hadi mke wake anauza duka
 
Tena uswazi na uswahilini ni zaidi. Kwanza huyo demu ni wafamilia bora anamudu K.Y Jelly. Wengine ungekuta Vasseline.
 
Back
Top Bottom