ni mwili mmoja , hivyo vya mke ni vyake pia
Babu unaishi wapi hebu fatilia Victoria Beckham aliishasahau mkoba kwenye Taxi! Jamaa kupekuwa wakakuta condoms, aliulizwa Beckham kama wanatumia condoms na mkewe akakataa![/QUOTE
Toa mifano kwenye mazingira yetu hayo ya ma super star ni ya kupikwa wauze gazeti au skendolization. Sitetei vipo hivi vitu ila kutokana na story yako huyo jamaa atakuwa zoba kama ni kweli kwa kutokugundua siku zote hadi mke wake anauza duka
Nina mshikaji wangu mmoja alikuwa anaishi na demu wake. Sasa jamaa yeye alikuwa anapiga graveyard shift. Kila akiondoka kwenda kazini demu naye anavaa anaenda kwa njemba ingine. Siku moja akaamua kurudi mapema nyumbani akitegemea demu wake atakuwa amelala kumbe wapi....demu akarudi asubuhi!
heri mimi sioi!!
mzee mzima yuko sebuleni anafatilia hotuba ya kikwete kwenye ufunguzi wa bunge akiona live wabunge wa chadema wakitoka ukumbini. Mkewe alikuwa jikoni akisaidia na msichana wa kazi kuandaa maakuli ya familia. Mkoba wa mkewe ulikuwa sebuleni basi akaamua kuangalia ndani, alichokuta kilikuwa ni mambo ya kushangaza, k.y jelly tube, condoms na vipodozi kadhaa wa kadhaa na pesa nyingi tu. Alishindwa kujizuia akashindwa muuliza mkewe. Hajawahi tumia condom wala k.y jelly na mkewe. Anadai wanamapenzi ya dhati hajawahi msuspect mkewe. Hili nimeshtua anaomba ushauri jamani. Uaminifu na mapenzi yamepungua hata mkewe kamshitukia.
Ushauri jamani!
Bottomline hakuna binadamu aliye mwaminifu kwa asilimia 100.
Ndio maana ni bora kumega kila mara upatapo fursa ya kufanya hivyo la sivyo utakuja kuumia vibaya sana siku moja. Naamini kabisa kumega nje ni mitigating factor siku utakapogundua kuwa unamegewa.....lol
Hii kali..ina maana unajihami kabla ya tukio au una react after the fact?
Mzee mzima yuko sebuleni anafatilia hotuba ya Kikwete kwenye ufunguzi wa bunge akiona live wabunge wa CHADEMA wakitoka ukumbini. Mkewe alikuwa jikoni akisaidia na msichana wa kazi kuandaa maakuli ya familia. Mkoba wa mkewe ulikuwa sebuleni basi akaamua kuangalia ndani, alichokuta kilikuwa ni mambo ya kushangaza, K.Y jelly tube, condoms na vipodozi kadhaa wa kadhaa na pesa nyingi tu. Alishindwa kujizuia akashindwa muuliza mkewe. Hajawahi tumia condom wala K.Y Jelly na mkewe. Anadai wanamapenzi ya dhati hajawahi msuspect mkewe. Hili nimeshtua anaomba ushauri jamani. Uaminifu na mapenzi yamepungua hata mkewe kamshitukia.
Ushauri jamani!
Nyani Ngabu Nyani Ngabu acha kukoleza moto hawa watu tayari kuna vuguvugu ndani ya nyumba sasa ukimshauri mume naye akamege nje bomu la scud litalipuka itakuwa balaa. Kikubwa ni mume amface mkewe amwulize inakwenda kwendaje na mambo ya mipira nk. Utakuta pengine kuna tatizo kwenye mambo ya unyumba sasa itakuwa njia mojawapo ya kutafuta njia mbadala wa kutatua tatizo.
Khaaa nimepata confusion. Sijui polisi huwa wanatumia vigezo gani kumshitaki mtu aliyekutwa na mali inayodhaniwa kuwa ni ya wizi. Huyu naye mwizi tuunatakiwa umjue mkeo kabla hujaoa,kuvikuta hivyo vitu haimaanishi infidelity imetake place.....labda amepewa amshikie mtu unajuaje???LOL:redfaces:
Ebo, we mwanaume vipi? Ulitaka asitumie condom? Mkeo anakujali
Na atakavyovikuta ni vya kwake pia...:teeth::teeth::teeth:
kwanza unatakiwa uwe na communication na mkeo,angeuliza kwa upole labda mkewe anataka kufanya mautundu mapya kitandani...amechoka kila siku kutumia voda,unajuaje?...ameleta 'zana'...za kutumia...LOL:teeth::teeth:,majibu kwa kweli anayo huyo mwanamke...hapa tutafanya guesswork...ambayo nadhani wengi wetu watamuhukumu tu bureee...